Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
Kichwa cha Mwendawazimu chajirudia tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu.........lol
dah shemeji ndo tumelala ivo..kauli ya Mwinyi bado ina hold...
Kichwa cha Mwendawazimu chajirudia tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu.........lol
3-2 score. Tumelambwa kama kawa. Dakika ya 91 sasa
Yametimia
Tumelala 3-2
tunaweza siasa eeh?
IWE, mbona unaleta ile kesi ya fide na pape bana!???wakulu mbona mnapiga deo hapa halafa hata senks hamgongi bana?
ukimtoa shemeji yangu of course lol
Favourite sport yetu ni kuendesha baiskeli hasa mikoa ya kanda ya ziwa.Majuzi nilikuwa Angola baada ya CAN, wakaniuliza, hivi Tanzania favourite sport yenu ni nini? Nikashindwa kujibu. Ila kwa kuwa ni mwanaume nikajibu "lakini tunapenda mpira wa miguu"
Wakaniuliza tena, mbona hatukuwaona CAN?. Nusu niwaambie, tunacheza sana bao.
Sasa mnisaidie ninyi wenzangu, hivi favourite sport yetu ni nini?
Nimehamisha swali lile pale juu, kuwa thread mpya ili tuchangie kwa mapana.Favourite sport yetu ni kuendesha baiskeli hasa mikoa ya kanda ya ziwa.
Yametimia
Tumelala 3-2
tunaweza siasa eeh?
hata kama watz tunajitetea mara nyingi kuwa Roma haikujengwa kwa siku moja but this of ours is taking forever. Kazi tunayo!Ni uthibitisho kwa mara nyingine tena jinsi tulivyo wachovu ktk CECAFA (under HE Maximo...). Cranes, Harambee Stars, Amavumbi, Zanzibar Heros wote wametufunga mwaka huu.
IWE, mbona unaleta ile kesi ya fide na pape bana!???