Taifa la washabikia uzinzi - Tanzania

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni.

Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.

Mtu akishafariki makosa yote tunamwachia Muumba wake ndiye mwenye Mamlaka ya kumwaadhibu. Kama tukimhukumu marehemu, Mungu atafanya nini ?
 
Ndo ujinga wa wabongo na hakuna hata mmoja aliyegusia kuwa vijana muwe watulivu msije mkatokewa na kama yaliyomtokea mwenzenu. We need to change
 
Mtu akishafariki makosa yote tunamwachia Muumba wake ndiye mwenye Mamlaka ya kumwaadhibu. Kama tukimhukumu marehemu, Mungu atafanya nini ?

Na ukikaa kimya huoni wote wataendelea kupita njia hiyo hiyo nalo hilo si kosa?
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.

Usihukumu usije ukahukumiwa.
 
nafiri kama wewe sio mzinzi, uwe wa kwanza kurusha jiwe. however ujue kuwa Mungu anapenda watu wote, wazinzi na wasio wazinzi. sote tunaishi kwa neema tu. kama Mungu angekuwa kama wewe hivi, basi siku ileee, unayoikumbuka uliyozini angelikuulia palepale kwenye kitanda, lakini ana huruma alikuacha tu, ukamaliza, ukaondoka, siku ukajifikiria ukarudi kwake ukatubu akakusamehe na sasaivi unarusha mawe kwa wenzio. hapa hatushabikii uzinzi wa mtu, tuna msiba wa mtu aliyekuwa balozi wa tz katika sanaa kwa nchi mbalimbali za afrika mashariki na ameingiza ajira kwa watu wengi waliokuwa wakisambaza kazi zake za sanaa. ni muhimu kuelewa kuwa, wasanii wanatakiwa kutathiminiwa sana. kumbuka kagame alituma hadi ndege kuwachukua wale waimba kwaya chrust ambassadors....tuwajali watu wetu. don't judge his uzinzi, Mungu angehesabu maovu hakuna ambaye angesimama.

mimi nimependa sana hii, nimeona kumbe watz tuna umoja sana, hii kitu imetuunganisha watz sana sana. mimi hapa niko kahama shinyanga, huwezi amini kuna wasukuma walilia mitaani ajabu huku usukumani. kauli kama yako hiyo ikiitoa huku usukumani, unaliwa nyama nakwambia...and some of them don't even know whether incident ilitokana na uzinzi, wao wanamwangalia kanumba as kanumba hawaangalii uzinzi wake. Mungu anisaidie mimi binafsi kwasababu bado tu ni mwenye dhambi. wala siihitaji kuwanyoshea wengine vidole, labda kama ni kuwaombea tu Mungu awarehemu wageuke.
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
i hope nimekujibu vizuri.
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.

Nani unayemzungumzia kwa maana ktk kipindi cha wiki moja kumetokea misiba kadhaa ambayo waheshimiwa wameshiriki?
 
Wameshabikiaje uzinzi? Mtu akishakufa regadles kafaje lazima afanyiwe taratibu zote..kama kuoshwa kuswaliwa na kuzikwa..mfano katika uislamu aliyeoa au kuolewa akikamatwa ugoni anapigwa mawe mpaka afe au aliyeua nae anauawa kisha anafanyiwa taratibu zote ambazo angefanyiwa aliyekufa kwa ugonjwa..labda unachoweza niambia ni kwamba watanzania hatuna kazi muhimu za kufanya..
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.

nyeti zinasema kanumba alikuwa kuwadi mkubwa wa mkulu...akimtaka bongo movie yeyote anampigia kanumba direct ...yet woteb ni freemason
 
Kama Kanumba kuishi na mwanamke kama wachumba bila ndoa ndio UZINZI, basi umetukana wengi sana tena wenye uongozi mkubwa kwenye vyama vya siasa!
Tuombe radhi mashabiki...........
 
Wewe unayewaita wenzako wazinzi wewe ni msafi??

Au kwakuwa unashinda kwenye nyumba za ibada ndio ukajiona umeongoka? Usi judge ndugu yangu hakimu yupo mmoja tu.
 
From Mwananchi
"SAHIHISHO
Rais Jakaya Kikwete jana alilazimika kubadili ratiba yake ya safari za ndani ya nchi ili kwenda kujumuika na waombolezaji wengine katika msiba wa msanii nguli, Steven Kanumba na hakuwa na safari nje ya nchi kama ilivyoripotiwa na gazeti hili jana. Mhariri."

END of quote

My Take.
Amestukia the way alivyopuuza Mgomo wa Ma Dr na kukimbilia wapi sijui vile, so anajaribu ku netralize watu wasije wa question: Kifo cha Steve na Mgomo wa Ma Dr..........
 
Nimesikitika sana msanii wa filamu za mahusiano na mapenzi anakufa kwa kuteswa na wivu wa mapenzi tena kwa katoto ,i thought he was a Badass!
 
Back
Top Bottom