Taifa kwanza: Viongozi watarajiwa wajitokeze sasa tujue misimamo yao!

Facebook @ NEW YORK CITY: Imekuwa ni tabia inayokubalika sana miongoni mwetu wananchi, na hasa wana CCM kwa Viongozi watarajiwa kunyamaza kimyaa, mpaka ikishafikia wakati wa uchaguzi ndio utaona wanaanza tokeza na kusema maneno machache sana kwenye public tena kwa ujanja sana ili kujaribu ku-minimize the damage ya where they stand on the ishus important to the people, waonekane wako kwenye mstari flani ambao unaaminkai sana kwamba unakubalika na Chama, regardless ya kukubalika na wananchi, matokeo yamekua viongozi na cham kukosa elimu ya kero za wananchi.

- Tunasema hivi kwa wale wote Viongozi watarajiwa kwenye chama chetu CCM, ni vyema wakaanza kujitokeza sasa tukawajua wanasimamia wapi na ishus muhimu sana kwa taifa, zile tabia za kumchagua kiongozi tusiyejua anaposimama na ishus zimeanza kupitwa na wakati, wana-CCM tuwakatae kabisa viongozi wa namna hiyo, maana ni nothing but wanafiki, wanaotaka kujiweka sawa na upepo wa bendera kufuatana na siasa za wakati. Wanaotaka kutuongoza mbele ya safari tuanze kuwajua sasa wapo wapi na Mafisadi, Elimu, EPA, IPTL, KAGODA, DOWANS, Mgawo wa Umeme, Madini, Ulipaji wa kodi, Muungano, Udini, Ukabila, I mean na mengineyo tuwajue sasa wanasimamia wapi?

- I mean matokeo ya hii tabia, hili taifa tumekua na viongozi ambao wanakuwa kama wanatokea Mars Planet, wananchi tunaongea lugha tofauti na wao, ndio maana mmoja wao alisema tutakula hata majani lakini ndege itanunuliwa, juzi tumesikia Mkurugenzi wa ATC aki-retire baada ya kuongoza shirika la ndege ambalo halina ndege hata moja anyways! Leo Tanzania tuna Radar ambayo hata walioitengeneza wamesema waliitengeza kwa sababu ya nchi kama Israel sio sisi, haya yote yamewezekana kwa sababu hili taifa tumejaza maviongozi wengi magoi goi, ambao hatukuwahi kuwasikia wakitoa maoni yao on anything kuhusu ishus muhimu kwa taifa kabla hawajawa viongozi, and then wakianza kutoa utumbo wao hadharani baada ya kuwa viongozi tunashangaa, walitokea wapi?

Tunasema hivi wale wote mnaotaka kutuongoza mbele ya safari, tafadhalini sana jitokezeni sasa tuwajue misimamo yenu kuhusu ishus muhimu za taifa, na hasa kero za wananchi kwa sasa, sio kujificha ficha na baadaye kuja kutufikisha pabaya, we have enough tayari! Tunawakumbusheni tu kwamba wote tunawamulika sana kwenye hii mitandao na nje pia, kuona consistency ya misimamo yenu, kumbukeni kwamba huko tunakokwenda ni mitandao ndiyo itaaamua nani awe kiongozi wetu na nani asiwe!, sasa jitokezeni tuwajue misimamo yenu sasa!

William Malecela @ New York City, USA.

Jakaya alisema hajui "kwa nini TZ ni maskini". Ni rahisi hadi leo.
Umetaja kashfa zote hapo kuna hatua zipi zimechukuliwa?
Bado unataka chama chako cha magamba kitoe Rais? Chonde chonde ishia huko huko kula kuku zako huko US vyema. Juzi ndugu zetu wamepigwa risasi kama ngedere; Nyamongo; tabora; arusha nk. bado tunahitaji ccm?
Hali ni mbaya sana tusamehe ndugu yangu.
tumechoka.
 
- Ha! ha! ha! ha! Mkuu wangu wa kazi! ha! ha! ha!, well we will see! Mh. Lusinde ni mbunge wangu na hands down na ushindi wake, muhimu ni deliverance kwa wananchi as opposed na crying for a status quo, kama Lusinde can deliver hakuna sababu ya kupingana naye next elections maana ni wananchi kwanza!

- HOWEVER: kama ameshindwa ku-deliver then somebody has to step up to the plate, I am a Revolutionary and my life speaks for itself, ujumbe wangu kwa Lusinde deliverance or be prepared to face the music! ha! ha! ha! ha!

William @ NYC, USA.

Kama lile jimbo lilimshinda Tinga-tinga kwa zaidi ya miaka 20...Kibajaji kitaweza kwa miaka mitano kweli??? hebu mwacheni hadi 2020 Labda Mtera itakaribia kuwa nchi ya ASALI NA MAZIWA...
 
- Anyways sina mpango wa kubadili topic ndani ya topic nyingine tayari, ya Mtera please yafungulie thread yake hii haihusu, have a nice day mkuu sana!

William @ NYC, USA.
 
hivi huyu mshkaji anaona ujiko saana kutaka tujue yuko newyork,,kumbe unaweza kukaa newyork na bado ukawa mshamba??
 
- Ungesema yote, kuanzia picha yangu na jina, ndio ulilie ninapoishi; eti kusema unapoishi ni ushamba! ha! ha! ha! unapaogopa unaposhi nini? ha! ha! ha! talking about ushamba! ha! ha! ha! anyways can we get back to the ishu! ha1 ha! umenivunja san mbavu mkuu sana! nice try thou!

- Acha kukimbia kivuli chako mkuu1 ha! ha! ha!

William @ New York City, USA.
 
JF ni kipimo cha uvumilivu, vijana hawa waliojiunga juzijuzi bado wana vitabia vya facebook, lakini taratibu wataiva kwenye tanuri kama wana nia ya kweli ya kuwa na fikra pana.
 
- Anyways sina mpango wa kubadili topic ndani ya topic nyingine tayari, ya Mtera please yafungulie thread yake hii haihusu, have a nice day mkuu sana!

William @ NYC, USA.

Mi nafikiri mkuu umeleta hoja ya maana, tena yenye kupima uzalendo kwa wale wenye ndoto za kugombea, ili kuwajua misimamo kwenye ishu muhimu za taifa..

Ningepeta wanajamvi wenzangu tujaribu kujenga hoja kuliko kutupiana maneno ambayo kwa kipindi kama hiki haya tena msingi..
Tujifunze tena kujadili kwa ustaarabu na kukosoana kwa points..
thanks
 
Facebook @ NEW YORK CITY: Imekuwa ni tabia inayokubalika sana miongoni mwetu wananchi, na hasa wana CCM kwa Viongozi watarajiwa kunyamaza kimyaa, mpaka ikishafikia wakati wa uchaguzi ndio utaona wanaanza tokeza na kusema maneno machache sana kwenye public tena kwa ujanja sana ili kujaribu ku-minimize the damage ya where they stand on the ishus important to the people, waonekane wako kwenye mstari flani ambao unaaminkai sana kwamba unakubalika na Chama, regardless ya kukubalika na wananchi, matokeo yamekua viongozi na cham kukosa elimu ya kero za wananchi.

- Tunasema hivi kwa wale wote Viongozi watarajiwa kwenye chama chetu CCM, ni vyema wakaanza kujitokeza sasa tukawajua wanasimamia wapi na ishus muhimu sana kwa taifa, zile tabia za kumchagua kiongozi tusiyejua anaposimama na ishus zimeanza kupitwa na wakati, wana-CCM tuwakatae kabisa viongozi wa namna hiyo, maana ni nothing but wanafiki, wanaotaka kujiweka sawa na upepo wa bendera kufuatana na siasa za wakati. Wanaotaka kutuongoza mbele ya safari tuanze kuwajua sasa wapo wapi na Mafisadi, Elimu, EPA, IPTL, KAGODA, DOWANS, Mgawo wa Umeme, Madini, Ulipaji wa kodi, Muungano, Udini, Ukabila, I mean na mengineyo tuwajue sasa wanasimamia wapi?

- I mean matokeo ya hii tabia, hili taifa tumekua na viongozi ambao wanakuwa kama wanatokea Mars Planet, wananchi tunaongea lugha tofauti na wao, ndio maana mmoja wao alisema tutakula hata majani lakini ndege itanunuliwa, juzi tumesikia Mkurugenzi wa ATC aki-retire baada ya kuongoza shirika la ndege ambalo halina ndege hata moja anyways! Leo Tanzania tuna Radar ambayo hata walioitengeneza wamesema waliitengeza kwa sababu ya nchi kama Israel sio sisi, haya yote yamewezekana kwa sababu hili taifa tumejaza maviongozi wengi magoi goi, ambao hatukuwahi kuwasikia wakitoa maoni yao on anything kuhusu ishus muhimu kwa taifa kabla hawajawa viongozi, and then wakianza kutoa utumbo wao hadharani baada ya kuwa viongozi tunashangaa, walitokea wapi?

Tunasema hivi wale wote mnaotaka kutuongoza mbele ya safari, tafadhalini sana jitokezeni sasa tuwajue misimamo yenu kuhusu ishus muhimu za taifa, na hasa kero za wananchi kwa sasa, sio kujificha ficha na baadaye kuja kutufikisha pabaya, we have enough tayari! Tunawakumbusheni tu kwamba wote tunawamulika sana kwenye hii mitandao na nje pia, kuona consistency ya misimamo yenu, kumbukeni kwamba huko tunakokwenda ni mitandao ndiyo itaaamua nani awe kiongozi wetu na nani asiwe!, sasa jitokezeni tuwajue misimamo yenu sasa!

William Malecela @ New York City, USA.

Malechela, ningetazamia ungetoa maoni yenye mtazamo wa kitaifa zaidi badala ya kuelekeza kwenye Chama Cha CCM tu, labda katika mtazamo wako unaona kama wenye haki na wanaotakiwa kuendelea katika kuongoza nchi ni CCM. Ingekuwa vema tu kama ungeongelea suala hilo zuri kwa majumlisho ya kitaifa zaidi, kwa sababu hoja na kanuni bora za kuongoza si za CCM tu ila kwa kila atakayekubaliwa na wanachi kuongoza dola ya watanganyika na wazenji wenye kuunda Tanzanina.
 
- Agreed 100%, HOWEVER: Ndugu yangu utakubaliana na mimi kwamba Tanzania sasa siasa ni vyama viwili tu, CCM na Chadema sasa msimamo wa viongozi wa Chadema unaeleweka wazi sana kwa kila mwananchi, tatizo ni sisi CCM I mean tizama jinsi viongozi wengi wetu walivcyokuwa wakiwashambulia wapiganaji, halafu sasa hao hao wapo mstari wa mbele kwenye kulia kujivua magamba!

- Otheriwise, nimekusikia sana mkuu you have a point!

William @ NYC, USA.
 
- Ha! ha! ha! ha! Mkuu wangu wa kazi! ha! ha! ha!, well we will see! Mh. Lusinde ni mbunge wangu na hands down na ushindi wake, muhimu ni deliverance kwa wananchi as opposed na crying for a status quo, kama Lusinde can deliver hakuna sababu ya kupingana naye next elections maana ni wananchi kwanza!

- HOWEVER: kama ameshindwa ku-deliver then somebody has to step up to the plate, I am a Revolutionary and my life speaks for itself, ujumbe wangu kwa Lusinde deliverance or be prepared to face the music! ha! ha! ha! ha!

William @ NYC, USA.

Tatizo Sheria za Uchaguzi Tanzania kampeni ni mwezi mmoja na nusu tu na atakayeanza mapema yuko nje ya sheria na anaweza kuchukuliwa hatua. Kwa utaratibu huu wananchi hawana nafasi ya kuwajua wagombea kwa muda mfupi wanapojinadi, bora utaratibu ungerekebishwa kabla ya uchaguzi wagombea waanze kujinadi kwa kipindi kama cha miezi kadhaa na watu tupate nafasi ya kuwachambua kujua makapi na mbegu.
 
- Agreed 100%, HOWEVER: Ndugu yangu utakubaliana na mimi kwamba Tanzania sasa siasa ni vyama viwili tu, CCM na Chadema sasa msimamo wa viongozi wa Chadema unaeleweka wazi sana kwa kila mwananchi, tatizo ni sisi CCM I mean tizama jinsi viongozi wengi wetu walivcyokuwa wakiwashambulia wapiganaji, halafu sasa hao hao wapo mstari wa mbele kwenye kulia kujivua magamba!

- Otheriwise, nimekusikia sana mkuu you have a point!

William @ NYC, USA.

Tukumbuke jambo moja muhimu kuwa historia inajieleza kiongozi anapokuwa madarakani muda mrefu huchokwa. Hali kadhalika kiongozi awapo muda mrefu madarakani hufikia kuzoea ayafanyayo hata kama yamepitwa na wakati kiasi cha kulewa madaraka na nafasi aliyo nayo, na wananchi wana umuhimu kwake anapohitaji ridhaa ya kuongezewa muda. Matokeo yake anakusanya zaidi nguvu kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kuomba muda wa uongozi badala ya kufanya jitihada za kujenga nchi na huduma muhimu na za msingi kwa wananchi wake.
attachment.php

Matokeo yake wananchi huchoka na kuchoshwa kwa kutotekelezewa waliyoahidiwa, na haki zao kuwekwa rehani, ndio unaona wanajichukulia sheria mkononi si kwa kutaka, ila viongozi ndio waliotengeneza mazingira hayo.

Mfumo mzuri wa demokrasi wenye kuleta tija kwa nchi na wananchi ni utaratibu wa kupinduana katika masanduku ya kura, njia hiyo inawafanya waliofanikiwa kuwapindua wenzao kutokana na sanduku la kura watajitahidi kwa hali na mali kufanya yale yanayotazamiwa na wananchi, vinginevyo tutaendelea na wimbo ule ule wa zidumu fikra za mwenyekiti. Mfumo tulio nao wa CCM, Na hakuna wa kumnyooshea kidole kiongozi kwa vile tuna mapokea ya kulindana, na kama mwenye jambo ni siri yamalizike ndani ya vikao.

Kizazi cha leo ni cha zama za utandawazi, na wanapodiriki kuongelea kwa uwazi yanayokwamisha wanaambiwa ni wasaliti, na vikaoni wanalindana, wakati wananchi wanaona yanayoendelea, kwa utaratibu huu tutafikia ndoto za kujikwamua? Jibu na kupinduana katika masanduku ya kura kwa kufuata itikadi za mwenye itikazi zenye tija kwa taifa badala ya kuchagua chama, ila chagua mtu anayefaa. Tumeshuhudia wanamuziki kuchaguliwa kutokana na itikadi si chama mfano ni Marais na magavana wa marekani wacheza movie na wanamuziki au sugu wa tanzania.
 
Mkuu Willy,
Sidhani kama hilo linawezekana kwa CCM ya sasa, labda ile ya next generation litawezekana. CCM ya sasa kuna nidhamu ya woga ya hali ya juu sana. Chama kimejijenga kwenye mapokeo ya "zidumu fikira za mwenyekiti." Usipodumisha fikra za mwenyekigoda unaonekana ni msaliti, which simply means soon you'll be kicked out of the party altogether. Kwa hiyo watu wanakuwepo tu ili bora liende.

Chama kimeshindwa kutambua kwamba there is a generation change, ndo maana sasa hivi hakina mvuto tena kwa younger generaltion. Mawazo yako ni mazuri sana, yanawakilisha younger generation, lakini hayawezi kupokelewa ndani ya chama kwa sababu ya generation gap.

Jipe moyo Willy. Thabo Mbeki aliwahi kusema "change does not come easily."
 
First of all we should address the circumstances which failed our current leader and the system .There is no better time to tell ourselves the home truth than now. To say most Tanzanians have given up totally on any hope for a positive change is an understatement. We have reached the level where our citizens are getting blasphemous, and openly asking God why He seems to have abandoned us. The reason is not far-fetched. Our squalid condition has defied all logic. We are probably the only country that is retrogressing, while those countries that looked up to us for succour have since left us to wallow in our self-delusion of grandeur as the so-called Great and the most peaceful nation in Africa. Even the war-torn zones, where our gallant men and women laid down their lives for peace to rein are marching forward in steady progress, while we continue to make headline news for all the wrong reasons. A leader must worry about image.

Unfortunately, Tanzania’s ruling party Chama cha Mapinduzi seems incapable, and unwilling, to prevent our descent into total chaos and destruction. All the blame must go to a leader who has demonstrated a lack of courage to take on the useless system that has kept Tanzania in this dangerous state of perpetual coma. We must move beyond polemics and seek various answers to the many questions plaguing our nation. Some of these solutions may appear drastic, but it should be known to all that we cannot cure cancer with Paracetamol. A leader must be a good doctor who can diagnose ailments and prescribe the right medication.

If I were JK, I’ll promptly cure myself of the optical illusion being dangled before me by the sycophants in the party of incompetent people who are telling me I must run for another term in office 2010. These are characters who would say the same things to every leader now and in the future.

He must remember that no one was more eminently qualified to rule forever than Nelson Mandela, but the great statesman chose to quit the stage while the ovation was loudest. He has continued to generate feverish attention from all over the world. Mandela has shown that it is not how long, it is how well. True leaders are those who possess the will to be different, the courage to dare, and not the timidity of maintaining the status quo. A ceremonial leader would always end up a tragic figure. A leader needs all the stamina in the world to tackle matters of state effectively.
A leader must have a mission, and the vision to project it. A leader cannot be ambivalent. He must have a clear understanding of the issues at stake, and set his priorities from Day One. He must surround himself with the right calibre of people who can operate on the same frequencies with him. The team determines whether a leader would fail or not. A leader must seek good disciples.
 
I was thinking on the same line kuna huu usemi umezoeleka sana hii awamu ya nne "WANAOMWANGUSHA KIKWETE". Everytime kuna scandal kubwa inatokea au uzembe uliokithiri utasikia ooh! wasaidizi wa Kikwete ndiyo wanaomwangusha. Gademu!!!!! Bei ya gas inavyozidi kuongezeka Marekani watu wanachojua ni Obama amesababisha, hutasikia hata siku moja wamarekani wakisema Biden, Eric Holder au mama Clinton. Sasa sisi siku zote ni kumwepusha mkulu hii sijui ni adabu ya wapi????????? Au Obama aanze kujitetea kwamba yeye hahusiki kwa sababu mafuta yanatoka middle east.

Nakuunga kabisa mkono mkuu japo mimi si mwanaCCM, "WASIOMWANGUSHA KIKWETE WANYOSHE MIKONO JUU NA KUPITA MBELE"
Mkuu
Katika hili nakuunga mkono, matatizo makubwa ambayo yanatukabili ni pamoja na swala la uwajibikaji.
Kama viongozi wakuu hawawezi kuwajibika ni dhahili wadogo hawatawajibika. Kitendo cha kumwepusha na kutupia lawama wasaidizi wa ndugu Rais kinamfanya asiwajibike maana haoni kuwa yeye ndo anayasitahiloi kubebeshwa lawama zote za nchi.
1.Kwanza kama mkuu wa nchi ( Baba mwenyenyumba).
2.Hao wasaidizi huwachagua mwenyewe hivyo wakimwangusha anauwezo wa kuwaondoa kama vile alivyo wachagua. Akishindwa kuwaondoa kwa sababu anazozijua kwa nini asibebeshwe lawama.
Hivyo basi watanzania tufike mahali tuwe wakweli, tumeweka siasa katika kila kona ya shughuli zetu tumeshidwa kutofautisha kipi kiendeshwe kisiasa na kipi kisiendeshwe kisiasa.
Tunachezea shilingi chooni kwa jinsi tunavyo endesha mambo ya nchi yetu.
Bado kitambo kidogo tutakuwa watumwa nchini mwetu.
Hivi sasa tunaendelea na hatua za jumuia ya Africa mashariki, ktk chi hizi tunazounda jumuia hiyo kwa pamoja baadhi yao sasa wameamuka kisiasa na tunaona kasi ya mabadiliko kwenye nchi zao hali sisi bado tupo kwenye ukiritimba,hawa wenzetu wataanza kutuburuza ndo tutakapo jikuta watumwa ktk nchi yetu.
Watanzania tuondoe woga, ni kweli tumelelewa kwenye misingi ya woga ambayo inatawala hadi baadhi ya viongozi wetu. Kwani naamini wapo baadhi yao wasiokubaliana na mambo kadha lakini kwa vile tuna nidhamu ya woga hawadhubutu kutamka kitu chochote. Hali hii imetufanya tuwe na nchi inayoonekana haina wasomi wakati tuna wasomi wengi na makini lakini kwa vile waoga hawana kifua cha kutumia usomi wao/uelewa wao kikamilifu.
 
Facebook @ NEW YORK CITY: Imekuwa ni tabia inayokubalika sana miongoni mwetu wananchi, na hasa wana CCM kwa Viongozi watarajiwa kunyamaza kimyaa, mpaka ikishafikia wakati wa uchaguzi ndio utaona wanaanza tokeza na kusema maneno machache sana kwenye public tena kwa ujanja sana ili kujaribu ku-minimize the damage ya where they stand on the ishus important to the people, waonekane wako kwenye mstari flani ambao unaaminkai sana kwamba unakubalika na Chama, regardless ya kukubalika na wananchi, matokeo yamekua viongozi na cham kukosa elimu ya kero za wananchi.

- Tunasema hivi kwa wale wote Viongozi watarajiwa kwenye chama chetu CCM, ni vyema wakaanza kujitokeza sasa tukawajua wanasimamia wapi na ishus muhimu sana kwa taifa, zile tabia za kumchagua kiongozi tusiyejua anaposimama na ishus zimeanza kupitwa na wakati, wana-CCM tuwakatae kabisa viongozi wa namna hiyo, maana ni nothing but wanafiki, wanaotaka kujiweka sawa na upepo wa bendera kufuatana na siasa za wakati. Wanaotaka kutuongoza mbele ya safari tuanze kuwajua sasa wapo wapi na Mafisadi, Elimu, EPA, IPTL, KAGODA, DOWANS, Mgawo wa Umeme, Madini, Ulipaji wa kodi, Muungano, Udini, Ukabila, I mean na mengineyo tuwajue sasa wanasimamia wapi?

- I mean matokeo ya hii tabia, hili taifa tumekua na viongozi ambao wanakuwa kama wanatokea Mars Planet, wananchi tunaongea lugha tofauti na wao, ndio maana mmoja wao alisema tutakula hata majani lakini ndege itanunuliwa, juzi tumesikia Mkurugenzi wa ATC aki-retire baada ya kuongoza shirika la ndege ambalo halina ndege hata moja anyways! Leo Tanzania tuna Radar ambayo hata walioitengeneza wamesema waliitengeza kwa sababu ya nchi kama Israel sio sisi, haya yote yamewezekana kwa sababu hili taifa tumejaza maviongozi wengi magoi goi, ambao hatukuwahi kuwasikia wakitoa maoni yao on anything kuhusu ishus muhimu kwa taifa kabla hawajawa viongozi, and then wakianza kutoa utumbo wao hadharani baada ya kuwa viongozi tunashangaa, walitokea wapi?

Tunasema hivi wale wote mnaotaka kutuongoza mbele ya safari, tafadhalini sana jitokezeni sasa tuwajue misimamo yenu kuhusu ishus muhimu za taifa, na hasa kero za wananchi kwa sasa, sio kujificha ficha na baadaye kuja kutufikisha pabaya, we have enough tayari! Tunawakumbusheni tu kwamba wote tunawamulika sana kwenye hii mitandao na nje pia, kuona consistency ya misimamo yenu, kumbukeni kwamba huko tunakokwenda ni mitandao ndiyo itaaamua nani awe kiongozi wetu na nani asiwe!, sasa jitokezeni tuwajue misimamo yenu sasa!

William Malecela @ New York City, USA.

FMES, Heshima mbele, Yaani huu kama ni mchango, I would nominate the post for the 'post of the month'.

Mkuu yaani unajua, tungekuwa na watu wanaofikiria namna hii, naamini taifa letu tungefika mbali sana. Anyway tusonge mbele. Lakini kwa hili kweli tuko pamoja mkubwa! Let all those who want to lead...stand up and be counted! Yale ya kujificha kwenye chama (Benard Membe, Mwakyembe, Lowassa?-No pun intended). Lakini mimi nasikitika nikiona watu kama akina Membe et al mpaka leo wanaitaka ile ofisi kubwa yet they cant stand up and articulate what they believe in. Ndo maana tunapata viongozi wasio na vision zaidi ya matumbo yao.

Hawa viongozi wetu hawataki kubadilika. Wanadhani kutuibia ndo deal. Lakini nawahakikishia....facebook na google itawabadilisha. haya mapinduzi ya teknolojia yataondoka na wahanga wengi.
 
Back
Top Bottom