maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,144
- 15,171
Mto mada nimesoma kwa makini posts zako nmegundua kuna vitu unachemka na dizain kama unatuzingua,
kwanza kabisa inaonesha wewe hujaleta mada hapa kupata msaada au ushauri…yaani umekuja kumshtaki Banker wako…
Pili hujaelezea kwa kina nini kilitokea na uliibiwa vipi hizo laki 4 (kitu ambacho inaweza kuwa sio wizi pia)…
Tatu inaonesha hutaki kusaidiwa na Banker wako kwa kuwa inaonesha ukihojiwa nao unaona kama wanamaanisha umejiibia mwenyewe wakati kuhojiwa ni kitu cha kawaida na ni wewe ndio unaweza kuwa msaada kusaidia kujua kilichotokea..… Na usipotoa ushirikiano huko wewe ndo utakua loser tu coz itaaminika umehusika pia
Nne inaonesha huna experience na banking na kuna vitu huvielewi kuhusu ATM transactions ndio maana unaishia kusema umeibiwa na kuwa tu mkali…cases za Cash not dispensed na cash retracted ambazo ni very common kwenye Interbank ATM transactions labda pia huzijui na inawezekana ndicho kilichotokea. Sasa basi kama kweli unataka tukusaidie humu elezea kwa kina nini kilitokea na ikawaje then tutakwambia nini ufanye na sio kukurupuka na kusema utaenda BOT,watakushangaa huko
Mwisho kumbuka lazima utarudi kwa Banker wako na utapaswa utoe ushirikiano mzuri, na sio jazba kama unavyoonesha kwenye post zako za juu…
Mwisho kabisa… Pole