Tahadhari: wizi wa ATM nimeibiwa laki 4

Mto mada nimesoma kwa makini posts zako nmegundua kuna vitu unachemka na dizain kama unatuzingua,

kwanza kabisa inaonesha wewe hujaleta mada hapa kupata msaada au ushauri…yaani umekuja kumshtaki Banker wako…

Pili hujaelezea kwa kina nini kilitokea na uliibiwa vipi hizo laki 4 (kitu ambacho inaweza kuwa sio wizi pia)…

Tatu inaonesha hutaki kusaidiwa na Banker wako kwa kuwa inaonesha ukihojiwa nao unaona kama wanamaanisha umejiibia mwenyewe wakati kuhojiwa ni kitu cha kawaida na ni wewe ndio unaweza kuwa msaada kusaidia kujua kilichotokea..… Na usipotoa ushirikiano huko wewe ndo utakua loser tu coz itaaminika umehusika pia

Nne inaonesha huna experience na banking na kuna vitu huvielewi kuhusu ATM transactions ndio maana unaishia kusema umeibiwa na kuwa tu mkali…cases za Cash not dispensed na cash retracted ambazo ni very common kwenye Interbank ATM transactions labda pia huzijui na inawezekana ndicho kilichotokea. Sasa basi kama kweli unataka tukusaidie humu elezea kwa kina nini kilitokea na ikawaje then tutakwambia nini ufanye na sio kukurupuka na kusema utaenda BOT,watakushangaa huko

Mwisho kumbuka lazima utarudi kwa Banker wako na utapaswa utoe ushirikiano mzuri, na sio jazba kama unavyoonesha kwenye post zako za juu…

Mwisho kabisa… Pole
 
Benk inayoongoza kwa wizi hapa ni AKIBA (ACB) nilitoa hela laki mbili tawi la AZANIA samora, statimenti ikaonyesha nimechukua tena laki mbili ACB Kijitonyama, nikachukua tena laki mbili ACB ubungo shell kwa tofauti ya dakika mbili mbili kila toleo. kwa kuwa mimi sikujua kama hela imeisha kwenye acount yangu siku ya pili nilienda kwenye ATM kutoa hela nashangaa kadi inachomoka na kupata ujumbe salio unalotaka kutoa halitoshi nilikimbia ACB makao makuu maraaa moja na kuomba statiment fupi ndipo nilipoyaona hayo madudu .nilikasirika mpaka wateja pale ndani waliniogopa wakaanza kuacha foleni na kutoka nje ndipo nilipochukuliwa nakuingiza ofisini kushughulikiwa tatizo langu, baaada ya nusu saa hela yangu ilirudishwa na kupigiwa simu. Hilo kwangu lilikuwa ni tukio la pili kutokea
 
Tatizo lako ni kama langu mkuu, huwa napenda kutumia ATM machines za AZANIA bank, nadhani ATM zao zinamatatizo kama utakua umepata tatizo kama langu, wahusika waziangalie upya
 
mzee wangu aliwahi kuingia matatizoni kwa uzembe wa bank,,, aliingiziwa millioni 5 kwenye account yake kutoka dar na kwa mtu asiyemfahamu..basi siku ya kwenda kucheki pesa yake benki ( nmb moro) akaitwa kwa meneja na mara wakawapigia simu polisi waje wamchukue. Maelezo aliyopewa kuwa kuna pesa zimeibiwa dar na kuingizwa kwenye acc yake so awatajie huyo mwizi na yeye amehusikaje kwenye huo wizi. Wakampeleka kituoni ,,,ikanilazimu niache pirika zangu niende kituoni,,,kufika kule Msangi akanipa maelezo yake na kunambia kuwa mzee atapelekwa dar kulipofunguliwa kesi,, so nikawakatalia mpaka wanipe maelezo ya mtu aliyeingiza hizo pesa,,mwanzoni walijifanya hawamjui but baada ya kuwachachamalia wakanionyesha mpaka picha ya huyo jamaa. Nikawaambia wakamkamate kwanza huyo jamaa and then waje wamchukue mzee...tukakubaliana hivyo. So mpaka leo kimya tangu mwaka jana.
SO NADHANI SOMETIMES KUNA USHIRIKIANO KWENYE WIZI WA KIBENKI.
 
Noamba ni declare interest,mim nimefanya benk kazaa na ktk idara mbalimbali.subject to this matter kuna uwezekano mkuu hapa alicommand hiyo pesa na ikahesabu haikutoka pesa hii hubaki kwenye pujbin(kifaa maalumu cha rejected notes)sasa hapa inategemea na ATM custodians wasipokuwa waaminifu hela hii wanaipiga maana vinginevyo muda kwa kureplenish ATM ambao ni kila saa kumi na mbili jion basi ATM isinge balance na over hiyo ingeonekana.kwa case kama hii wakikupa statement tu utashindwa maana inaonesha cash imekuwa debted suluhisho hapa ni ku play PVR ambapo itaonesha nani kachukua kama ni ww ama mteja aliyefuatia maana kitaalamu kama kuna jam cash inaweza chelewa paka dk 5.kwa msaada zaidi unaweza nicheck lakin punguza hasira kwa style hiyo utapoteza vyote mkuu.ikumbukwe tu benk haina dhamana ya matunzo ya kadi yako wizi wowote utakao fanyika ktk atm kwa kadi ambayo umekabidhiwa wewe benk hailipi sana sana utasaidiwa kumtafuta mtuhumiwa tu
 
Mto mada nimesoma kwa makini posts zako nmegundua kuna vitu unachemka na dizain kama unatuzingua,

kwanza kabisa inaonesha wewe hujaleta mada hapa kupata msaada au ushauri…yaani umekuja kumshtaki Banker wako…

Pili hujaelezea kwa kina nini kilitokea na uliibiwa vipi hizo laki 4 (kitu ambacho inaweza kuwa sio wizi pia)…

Tatu inaonesha hutaki kusaidiwa na Banker wako kwa kuwa inaonesha ukihojiwa nao unaona kama wanamaanisha umejiibia mwenyewe wakati kuhojiwa ni kitu cha kawaida na ni wewe ndio unaweza kuwa msaada kusaidia kujua kilichotokea..… Na usipotoa ushirikiano huko wewe ndo utakua loser tu coz itaaminika umehusika pia

Nne inaonesha huna experience na banking na kuna vitu huvielewi kuhusu ATM transactions ndio maana unaishia kusema umeibiwa na kuwa tu mkali…cases za Cash not dispensed na cash retracted ambazo ni very common kwenye Interbank ATM transactions labda pia huzijui na inawezekana ndicho kilichotokea. Sasa basi kama kweli unataka tukusaidie humu elezea kwa kina nini kilitokea na ikawaje then tutakwambia nini ufanye na sio kukurupuka na kusema utaenda BOT,watakushangaa huko

Mwisho kumbuka lazima utarudi kwa Banker wako na utapaswa utoe ushirikiano mzuri, na sio jazba kama unavyoonesha kwenye post zako za juu…

Mwisho kabisa… Pole

great!hop we share the same interst in this industry
 
Wakuu kuweni makini na matumizi yenu ya ATM, nyingi si salama, nimeibiwa laki 4 leo hii.

NI bora kuingi ndani kuliko kutumia ATM.

Nimelizwa Bank wenyewe wanaanza kuleta hadithi ndefu..kucheki statement naonyeshwa transactions ambazo sikufanya..

Hakuna niliyempa namba ya siri, wala niliyempa ATM card yangu, kuweni makini..

Mara nyingine kadi inapotoka kabla fedha hazijatoka hutokea tatizo la network, ukiondoka network ikitengamaa pesa, lisiti, zinatoka anazikomba yeyote na hakuna kesi, maana umekomandi pesa itoke 'n then ukasepa bila kusubiri muamara ukamilike, kosa la nani..???
 
Noamba ni declare interest,mim nimefanya benk kazaa na ktk idara mbalimbali.subject to this matter kuna uwezekano mkuu hapa alicommand hiyo pesa na ikahesabu haikutoka pesa hii hubaki kwenye pujbin(kifaa maalumu cha rejected notes)sasa hapa inategemea na ATM custodians wasipokuwa waaminifu hela hii wanaipiga maana vinginevyo muda kwa kureplenish ATM ambao ni kila saa kumi na mbili jion basi ATM isinge balance na over hiyo ingeonekana.kwa case kama hii wakikupa statement tu utashindwa maana inaonesha cash imekuwa debted suluhisho hapa ni ku play PVR ambapo itaonesha nani kachukua kama ni ww ama mteja aliyefuatia maana kitaalamu kama kuna jam cash inaweza chelewa paka dk 5.kwa msaada zaidi unaweza nicheck lakin punguza hasira kwa style hiyo utapoteza vyote mkuu.ikumbukwe tu benk haina dhamana ya matunzo ya kadi yako wizi wowote utakao fanyika ktk atm kwa kadi ambayo umekabidhiwa wewe benk hailipi sana sana utasaidiwa kumtafuta mtuhumiwa tu
Aisee kama policy zenu zimekaa namna hii, kua hakuna kulipa once kuna default imetokea kwenye ATM card, basi hakuna haja ya kuweka pesa kwenye benki zenu...whatever happened to the insurance ambayo bank inaku anayo, au haijacover losses za namna hii, maana hii pia inaweza kuwa mojawapo ya loss ambayo benki anapata, kwakua ATM imetolewa na Bank, pesa ipo bank, so kukitokea matatizo ambayo hayapo ndani ya uwezo wa mteja kuyatatua inakua ni jukumu la benki?? hamuoni kufanya hivyo ni kujivua majukumu yenu?? so likitokea tatizo nakua tena si mteja wenu??
 
zipo bank komavu kama CRDB na NBC wewe unaweka hela saccos unadhani ni bank?
mkuu i have been a good customer for 8 good years, na nilikwenda huko simply kwakua they were the first kuwa na huduma ya money gram , naitumia sana, so nikaona bora kufungua acc nao, sijawahi pata tatizo lolote, mpaka hivi majuzi..
 
Mimi CRDB ATM yao ya kijiweni imeniibia 50 alafu bank wanajifanya hawajui

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Benk inayoongoza kwa wizi hapa ni AKIBA (ACB) nilitoa hela laki mbili tawi la AZANIA samora, statimenti ikaonyesha nimechukua tena laki mbili ACB Kijitonyama, nikachukua tena laki mbili ACB ubungo shell kwa tofauti ya dakika mbili mbili kila toleo. kwa kuwa mimi sikujua kama hela imeisha kwenye acount yangu siku ya pili nilienda kwenye ATM kutoa hela nashangaa kadi inachomoka na kupata ujumbe salio unalotaka kutoa halitoshi nilikimbia ACB makao makuu maraaa moja na kuomba statiment fupi ndipo nilipoyaona hayo madudu .nilikasirika mpaka wateja pale ndani waliniogopa wakaanza kuacha foleni na kutoka nje ndipo nilipochukuliwa nakuingiza ofisini kushughulikiwa tatizo langu, baaada ya nusu saa hela yangu ilirudishwa na kupigiwa simu. Hilo kwangu lilikuwa ni tukio la pili kutokea
Bank haimuibii mtu,ila mtu anaweza kuiibia bank...wasichoelewa watu ni wajibu wao kwa akaunt zao...wanajua ukishafungua akaunti ndio basi wewe ni kutoa na kuweka tu...wakati wa kufungua akaunt someni vizuri sio kutia saini tu wakati kuna sehemu unapaswa kuelewa wewe kama mteja unawajibu gani Bank... Maana makosa yanatokea sana tu na wewe kama mteja ni wajibu wako kutoa taarifa,usipofanya hivyo ni kosa, na ikipita miezi mitatu na kuendelea bila kutoa taarifa Bank itachukulia kwamba kila kitu ni sawa na hapo inaweza kuwwa imekula kwako.. Bank haiibi ila watu ndio sio waelewa
 
Mimi CRDB ATM yao ya kijiweni imeniibia 50 alafu bank wanajifanya hawajui

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Huoni hata aibu mkuu kusema Bank imekuibia 50? Hiyo hela Bank itapeleka wapi? Kilichotokea ndio kama nilivyoelezea kwenye post zangu mwanzo,soma then uliza usipoelewa...na ukielewa waeleweshe na wengine
 
Aisee kama policy zenu zimekaa namna hii, kua hakuna kulipa once kuna default imetokea kwenye ATM card, basi hakuna haja ya kuweka pesa kwenye benki zenu...whatever happened to the insurance ambayo bank inaku anayo, au haijacover losses za namna hii, maana hii pia inaweza kuwa mojawapo ya loss ambayo benki anapata, kwakua ATM imetolewa na Bank, pesa ipo bank, so kukitokea matatizo ambayo hayapo ndani ya uwezo wa mteja kuyatatua inakua ni jukumu la benki?? hamuoni kufanya hivyo ni kujivua majukumu yenu?? so likitokea tatizo nakua tena si mteja wenu??
Mkuu kasome tena zile form za kufungulia account hasa zile page za nyuma ambapo mtu chini unatia tu saini...utaelewa wajibu wa Bank na pia wajibu wako kama mteja...wengi wanatia tu saini bila kujua nini kimeandikwa...
 
Back
Top Bottom