nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,243
,...Ah wapi!mhutu hawezi kukimbia ikulu labda ang'olewe na nguvu ya umma ama jeshi....kwa ubadhirifu huu hawezi kubali kuondoka bali atajijengea mazingira ya kutawala zaidi..maana anajua siku akitoka madudu haya yataweza kumtia kitanzi....Najua wapendwa mnapiga kelele lakini kelele zenu sio za bure iko siku itafanya kati. Lowassa aliwahi kusema msiingie mtaani kwa ajili ya ikulu watakimbia wenyewe. Nina uhakika 100% Sizonje atakimbia Ikulu siku sio nyingi.