Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,957
- 4,140
Huduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno
Ripoti za CAG zinawekwa makabatini tu kwa mh sipika bila kufanyiwa kazi na wahusika wapo, hii ni dhambi kubwa sana na unyanyasaji kwa vibaka wa kuiba kuku huku mafisadi yakilelewa na viongozi!
Huduma za matibabu hovyo
Dollar hakuna
Umeme hakuna
Huduma ya maji safi ni taabu
Pesa mtaani hakuna
Bidhaa juu, hadi kero
Mafuta hayana mdhibiti, mfanya biashara akiamka vibaya tu, hasira zote anazielekezea kwa walala hoi, anapandisha bei ama kuficha bidhaa hiyo
Bei za vifaa vya ujenzi havishikiki!
Bandari zimemshinda kuzisimamia
Ni awamu itakayeongoza kuwapeleka jela wanawake
Kodi nyingi na za ajabu ajabu, ni awamu hii
Lilianza suala la umeme, kutoka 27,000 hadi malaki ya fedha kuingiziwa umeme, badaye kulifuata Bima ya mtoto utadhani mtoto ana hatia kuzaliwa duniani!
Badala yake, tumeona sheria za wake za maraisi kuingizwa kwenye kulipwa utadhani na wao wanaingia ofisini
Mbona hawazungumziwi na au sheria hiyo kuwahusu wake za watumishi wote wa umma?
Vijana wanabuya unga tu na kuwa kama mazezeta, maana yake, awamu hii wauza unga wanatamba tu hawana mtu wa kuwatisha!
Ni tafrani tupu