shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,458
- 2,359
Ndiko alikozaliwa Mungu mtuMbona Chato mmeikomalia sana?.

Ujenzi wa ukuta MireraniSalam za jumapili wanabodi!!
Napenda kuweka hii rejea mahsusi kwa siku za mbele!!
Katika awamu ya tano kuna vitendo vya hovyo sana hasa ktk suala zima la matumizi ya pesa za umma. Na u hivyo huu unafunikwa na Kauli ya 'nia njema'
Nchi yetu imejiondoa kabisa ktk program ya uwazi na mambo mengi sasa imekuwa ni siri kuu....
Tukianza na sakata la E-passport tukumbuke na ya Richmond!! Kwenye Richmond 'nia njema' na uharaka vilileta balaa!! Sura ile ile ya sakata la Richmond ndio imejitokeza kwenye E-passport!! Richmond ilipewa Kazi kinyume na zabuni na hii kampuni ya e E-passport pia imepewa Kazi kinyume na zabuni na haina sifa stahiki.
Awamu ya tano imetupa pembeni utaratibu wa zabuni na sasa inaamua na kufanya manunuzi au kuingia mikataba wenyewe kwa amri toka juu...
Rejea hii itatukumbusha siku za usoni na hasa kwa Miradi hii....
1. Uwanja wa ndege chato
2.vitambulisho vya utaifa
3.fly overs
4. Bombadier
5.Tenda za ujenzi za TBA n.k
Kwa kumalizia tuu.... nimeandika hayo nikiwa full detailed..... kuna vitu duniani havichiki navyo ni Jua...mwezi na ukweli.
MUDA NI HAKIMU WA YOTE!!
Ukweli uluoandika hapa hautaanguka chini.Sasa mpini kashikilia mwizi wewe mwenye mali utasalimika? Funga midomo ili apige.na ukiona mtu kila mara anaita wengine wezi ujue anaji pre empty asijulikane kumbe yeye ni jambazi.
Hawawezi kukosa pa kuziweka mkuu, zitabaki hapo hapo. Nakumbuka sakata la Richmond lilivyokuwa na jinsi watu walivyoacha nyuso zao hapo hapo.Siku madudu ya serikali ya magufuli yakianza kufichuliwa wale wafia chama cha fisiem sijui wataweka wapi nyuso zao.
ExactlyNdiko alikozaliwa Mungu mtu
Flyovers mikataba yake ilikuwepo kabla ya awamu ya tano kuanzaSalam za jumapili wanabodi!!
Napenda kuweka hii rejea mahsusi kwa siku za mbele!!
Katika awamu ya tano kuna vitendo vya hovyo sana hasa ktk suala zima la matumizi ya pesa za umma. Na u hivyo huu unafunikwa na Kauli ya 'nia njema'
Nchi yetu imejiondoa kabisa ktk program ya uwazi na mambo mengi sasa imekuwa ni siri kuu....
Tukianza na sakata la E-passport tukumbuke na ya Richmond!! Kwenye Richmond 'nia njema' na uharaka vilileta balaa!! Sura ile ile ya sakata la Richmond ndio imejitokeza kwenye E-passport!! Richmond ilipewa Kazi kinyume na zabuni na hii kampuni ya e E-passport pia imepewa Kazi kinyume na zabuni na haina sifa stahiki.
Awamu ya tano imetupa pembeni utaratibu wa zabuni na sasa inaamua na kufanya manunuzi au kuingia mikataba wenyewe kwa amri toka juu...
Rejea hii itatukumbusha siku za usoni na hasa kwa Miradi hii....
1. Uwanja wa ndege chato
2.vitambulisho vya utaifa
3.fly overs
4. Bombadier
5.Tenda za ujenzi za TBA n.k
Kwa kumalizia tuu.... nimeandika hayo nikiwa full detailed..... kuna vitu duniani havichiki navyo ni Jua...mwezi na ukweli.
MUDA NI HAKIMU WA YOTE!!
Bajeti ya kubomoa jengo la Tanesco ilipitishwa na nanani? Mkandarasi alishindanishwa na nani?Nadhani ingekuwa vyema ungetueleza ni kifungu kipi cha sheria ya manunuzi kilikiukwa kwa kila project. Jinsi ulivyoandika ni kama mganga wa kienyeji tu.
Wanatuona mazuzu kweli !Ufisadi mwingeni ambao mleta mada amesahau ni mtawala kuwa na mawazo ya kujiongezea muda kupitia midomo ya lumumba kama akina Jumi Nkamia.KULE LUMUMBA KULAMBA RAMBIRAMBI KWA KADIRI YA mungu WAO MZEE BABA NI BARAKA NA MAUJANJA
Astaghafillulah !Bajeti ya kubomoa jengo la Tanesco ilipitishwa na nanani? Mkandarasi alishindanishwa na nani?
Akikujibu najitoa JFBajeti ya kubomoa jengo la Tanesco ilipitishwa na nanani? Mkandarasi alishindanishwa na nani?
Du! The Boss umerudi! hongera sana, mchango wako ni muhimu.Hata ufisadi wakati wa Nyerere ulikuwa mkubwa mno
but ulifunikwa na 'wana Taasisi' hadi wakamtangaza 'mtakatifu'
iwapo John atafariki leo naweza kutabiri bila shida mchakato wa kumtangaza
'mtakatifu' utaanza mapema sana...
Kawaida ufisadi wa 'waswahili' hutangazwa sana..lakini ufisadi
wa wana 'taasisi' utashangaa ukifunikwa..
usisahau kulikuwa na ufisadi wizara aliyoiongoza mkubwa tu na ulifunikwa
Salam za jumapili wanabodi!!