TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

ayanda, hebu njoo pm nikuambie ya moyoni mwangu. The other day nilikuwa nasikiliza kipindi cha ndoa channel 10 kilichoendeshwa na mchungaji Mtimingi. Moja wapo wa sifa anayopaswa kuwa nayo mwanamke ni unyenyekevu. Kwa kusoma bandiko lako hili, nakuona kama wewe ni mke mnyenyekevu!!! What went wrong?

I GOT TIRED...NIMEKATA TAMAA BECOZ NAONA KAMA NILIJITOA MNO TO HIM AND HIS CHILDREN LAKINI KUTWA MATUSI NA LAWAMA
 
Hata mimi huwa naliwaza mno hilo suala, maana nahisi inaweza tokea siku akanifurumusha nje....Nachomlaumu ni kwamba, nilimsisitizia mno kwamba ayamalize na mkewe kabla hajamove on na mtu mwingine.... kidesign moyoni naona kama hatutafika mbali maana ni shida mno aiseeee....sasa why hakumbembelez mkewe arudi kama kweli she was that good. Naamini ningeweza pata mwanaume ambae hajawahi funga ndoa yeyote ile na ndicho alichoniambia mwanzoni maana alishapataga msichana mwingine humuhumu wakaa like 3 days lakini huyo dada alimkimbia baada ya kugundua jamaa ana ndoa halali kabisa. Yeye alijua labda jamaa alikua anaishi tu kisela na mwanamke kumbe alioa rasmi. Hata mimi mwanzoni nilijua huyo mwanamke alikua anaishi naye kisela tu kumbe ilikua ndoa rasmi. Hii kitu inanitesa mno aiseee maana naona kama vile natumika kupotezea mawazo tu then badae akishatulia anibwage ....lakini hata ikitokea sitokufa nitaishi tu HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA
Huwanapatwa na nini??? Unajua sijawahi kuona mwanamke aliyetulia akakosa mume wa kumuoa..! Binafsi naangaika nipate mwanamke anayejua raha na shida ila kumpata taabu kweli napata vimeo tuuh, ila one day Yes...! ata kama amezaa isiwe issue ila understanding yake lazima iwe juu sana.
 
Bora ulivokua alone ivi hukujiuliza uyo mkewe alikimbia nin, maneno yatakuua mchane tu kua unataka kusepa, mwite ata balozi pengine akiona pengo lako atabadilika

Apparently hata kuvunjika kwa ndoa yake pamoja na allegations nyingi alizotoa ex wife wake lakini na yeye pia anadai kikubwa ni kuhusu huyu huyu mtoto wake kwamba ex wife alikua hampendi na alikua anambagua kiasi kwamba mtoto akakimbilia kwa babu yake. Kitu nilichokuja kugundua ni kwamba hata huko nyuma alikua napenda kuwasiliana na mwanae bila kupitia kwa wife kwahiyo mkewe pia alichoka na story za "baba kasema hivi, baba kasema vile" .
 
Ebu mtishie kama unaondoka uone atasemaje,
 
Sasa kama umeshamkinai usiombe ushauri..pia uko vizuri unaweza kujihudumia angalia maisha yako..wala usijilaumu umefaidika kupata somo
 
Ebu mtishie kama unaondoka uone atasemaje,

Katika vitu vya kijinga kwenye relaionship ni kutikisa kibiriti karibu na petrol, na huwa sifanyagi hayo NEVER maana mimi mtu akinitishia kuniacha huwa ndo bye bye sibembelezi hata kama nimefika bei. Kwa kulitambua hilo huwa nikiamua kuachana na mtu normally huwa siagi wala sijielezi yani huwa ni kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa...
Sipendagi vitisho vya kimapenzi na huwa simfanyii mtu vitisho
 
Cha msingi, hapo hakuna maisha, mpige chini uanze upya na maisha yako. Hatujapata upande wa pili haidhuru, ni bora kuondoka tuu hapo kete zimegoma.
 
Wewe ni mnafiki....ulimfanyia hayo yote ili upate kitu fulani...u ddnt do all those u claim to have done for the sake of love...last time I check if u do something for love u dnt keep records...jamaa hajawa mnafiki amekuwa real so u r either in or out. .stop bitchin and whinin...
 
Pole sana, ila naamini umejifunza kitu kupitia matatizo unayopitia.Tumia vizuri funzo ulilolipata kwenye mahusiano yajayo (kama utaamua kuwa nayo)
 
Hata mimi huwa naliwaza mno hilo suala, maana nahisi inaweza tokea siku akanifurumusha nje....Nachomlaumu ni kwamba, nilimsisitizia mno kwamba ayamalize na mkewe kabla hajamove on na mtu mwingine.... kidesign moyoni naona kama hatutafika mbali maana ni shida mno aiseeee....sasa why hakumbembelez mkewe arudi kama kweli she was that good. Naamini ningeweza pata mwanaume ambae hajawahi funga ndoa yeyote ile na ndicho alichoniambia mwanzoni maana alishapataga msichana mwingine humuhumu wakaa like 3 days lakini huyo dada alimkimbia baada ya kugundua jamaa ana ndoa halali kabisa. Yeye alijua labda jamaa alikua anaishi tu kisela na mwanamke kumbe alioa rasmi. Hata mimi mwanzoni nilijua huyo mwanamke alikua anaishi naye kisela tu kumbe ilikua ndoa rasmi. Hii kitu inanitesa mno aiseee maana naona kama vile natumika kupotezea mawazo tu then badae akishatulia anibwage ....lakini hata ikitokea sitokufa nitaishi tu HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA
Pole mpendwa
 
Wewe ni mnafiki....ulimfanyia hayo yote ili upate kitu fulani...u ddnt do all those u claim to have done for the sake of love...last time I check if u do something for love u dnt keep records...jamaa hajawa mnafiki amekuwa real so u r either in or out. .stop bitchin and whinin...
Hata anaposema alikubali au alifanya, siyo for love. ANASEMA, NIKAONA si vibaya, nilipiga hesabu n.k.Kimsingi,huyu mwanamke siyo.
 
Salaam zenu bandugu.. Naandika uzi huu ili angalau nipunguze msongo wa mawazo maana naweza kupasuka kichwa...

Mimi ni mdada nina kazi yangu nzuri tu Alhamdulihah na niko na watoto wawili (usiiulize baba yao alipo hayakuhusu) mnamo mwaka jana 2016 mwezi wa tisa hivi nilipata mkaka humuhumu JF aliyekua anatafuta mwanamke.

Tukapanga tukaonana na kwa mujibu wake akanipenda na mimi nikaona si mbaya nikaridhia mawasiliano yakawa makubwa tu. Huyu mkaka aliachana na mkewe wa ndoa ingawa bado si rasmi legally.

Ana 2 watoto na mmoja anaishi nae mwingine yupo kwa mama yake. Akanisisitiza mno nihamie kwake na wanangu ili tuishi pamoja na kusaidiana life.

Nikaona ni jambo jema maana sikua na nyumba sababu bado najikongoja mno kwenye ujenzi... Nikahamia na wanangu na watoto walimpenda kweli yani maisha yalikua murua kwakweli.

At that time, nilikua na vihela vyangu kidogo nikamsaidia kulipa ada ya wanae ya term ya kwanza takriban laki saba unusu. Na yeye nikamsaidia kumlipia ada ya open university asome Law maana alikua hapendi degree yake aliyonayo nikamlipia semester ya kwanza laki 4 na sabini.

Akaanza chuo na amefaulu first year na anatakiwa awe second year mwaka huu. Matumizi ya ndani tunashare ananipa mshahara wake ingawa mdogo lakini nina hulka ya kushukuru.

Tatizo kubwa ni kunisimanga kuhusu nyumba yake yani its too much, na pia mtoto wake hata nimpemdaje haoni anadai nambagua yani kiukweli huyu mtoto age 14 simbagui, kila nacholeta nagawa mara 3 sijawahi kumkaripia wala kumpiga wala kumgusa.

Hata yeye mtoto hana shida na mimi tatizo ni baba yake. Jana nilienda nao saluni ili mwanangu anyoe, sasa ikawa bonge la bifu eti why na yeye wa kwake sijamnyoa. Kiukweli hakua na nywele mbaya.

Akarudi jioni amelewa na kunipiga juu huku akidai mkewe alikua better kwamba ameruka mkojo amekanyaga mavi na kama vipi nihame chumba nikalale na watoto.

Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.

Akishalewa ni kunitukana kuniita ****** na mpuuzi. Jamani huyu mtu nimetoka kuchukua loan ya laki 4 kumlipia mwanae anayesema nambagua.......

Kiukweli kama ni kuingizwa chaka basi mimi ni chaka bovu. Hapa nilipo nina mimba ya miezi 3 na kwakweli moyoni nimeshamkinia....mungu anitangulie kwenye mipango yangu ya kujikomboa kutoka kwenye huu utumwa.

Tuna mwaka mmoja na miezi kama miwili tangu tuanze mahusiano last year......

Jamani kina dada na kina kaka pia msikurupuke kwenye haya mambo! Go slowly, mimi nilikurupuka sababu ya upweke niliokua nao kipindi hicho.
Dah,pole dadang ila mung atakutangulia Inshaallah
 
Wewe ni mnafiki....ulimfanyia hayo yote ili upate kitu fulani...u ddnt do all those u claim to have done for the sake of love...last time I check if u do something for love u dnt keep records...jamaa hajawa mnafiki amekuwa real so u r either in or out. .stop bitchin and whinin...
Wee jamaa ni akili kubwa Sana, hapa wengi watakubeza ila ukweli wewe ni akili kubwa Sana.
 
Huyo mwanaume yupo humu anasoma na kucheka tu.
Pole sana wanaume wa aina hii wanatuharibia wanaume wa ukweli.
 
Huwanapatwa na nini??? Unajua sijawahi kuona mwanamke aliyetulia akakosa mume wa kumuoa..! Binafsi naangaika nipate mwanamke anayejua raha na shida ila kumpata taabu kweli napata vimeo tuuh, ila one day Yes...! ata kama amezaa isiwe issue ila understanding yake lazima iwe juu sana.
Big mind bwana, hao unaowapata ujue ndio wa kufanana na wewe. Sasa humu tu uko hivyo unategemea nini!!!
 
Back
Top Bottom