- Thread starter
- #621
ayanda, hebu njoo pm nikuambie ya moyoni mwangu. The other day nilikuwa nasikiliza kipindi cha ndoa channel 10 kilichoendeshwa na mchungaji Mtimingi. Moja wapo wa sifa anayopaswa kuwa nayo mwanamke ni unyenyekevu. Kwa kusoma bandiko lako hili, nakuona kama wewe ni mke mnyenyekevu!!! What went wrong?
I GOT TIRED...NIMEKATA TAMAA BECOZ NAONA KAMA NILIJITOA MNO TO HIM AND HIS CHILDREN LAKINI KUTWA MATUSI NA LAWAMA