Wakuu nimeona onyo limetolewa kuwa kuna wizi mpya kwa kutumia ATM na Credit cards zilizo ibwa na wezi hawa wana-temper na chip pamoja na pin za hizi cards. Kwa habari zaidi tembelea link hapo chini.
http://uk.news.yahoo.com/21/20100211/ttc-chip-and-pin-fraud-danger-revealed-e1d36ba.html
http://uk.news.yahoo.com/21/20100211/ttc-chip-and-pin-fraud-danger-revealed-e1d36ba.html