Tahadhari kwa wanywaji wa Castle Light na Tusker

Weee........castle light-tusker ndiyo bia gani hiyo...............ina maana watu wanagida tu bila kusoma maandishi yaliyoubavunoi mwa vyupa?
 
Hiyo hapana bana kali mno kama the kick, au the bingwa hivi hizi bia bado zipo maana nakumbuka kuna mtu aliadhirika na ze bingwa

DSC07647.JPG

Umeona huyu ni Ticha nyagi ilimfanya kitu mbaya ashukuru Mungu ilikuwa mchana la sivyo wazee wa maji taka wangefanya vitu

DSC07637.JPG

Ubaya wa nyagi ukizidisha unakuta Dunia inazunguka
 
kuna marafiki zangu wanatengeneza value pale sinza hongera nyumba za karibu na konyagi nkikwambia zinafungwa na sili ya tra unayoiona uwezi amini na ndio maana pale afrikasana vijana wengi wamekimbilia sana value inalewesha kuliko original na moja ya kionjo cha kutngenezea ni mkojo uliolala kwa muda kadhaa...ni ngumu hii nchi tushakufa hata alieleta ukimwi anajitafutia dhambi zzisizomhusu vyakula vyeneyewe vinatumaliza
Hili la mkojo nimelishuhudia kuna hawa dada wa usiku kila mwenza wake akienda chooni anaongeza kitu cha rangi ya bia anachotoa kwenye chupa ya plastiki iliyo ndani ya pochi yake.baada ya muda jamaa akalala kabisa,dada akajifanya anamkalisha vizuri akamwibia hela na simu na kutokomea.Baadaye walipokuja mabaunsa wakakuta chupa ya plasiki chini ya meza kunusa ni mkojo.
 
Hizo za mikojo mbona nyingi sana
 
Baada ya ndovu kuchakachuliwa nimeamua kuacha bia ispokuwa occasionally nakula kitu Guiness kwa kazi maalum.
 
Baada ya ndovu kuchakachuliwa nimeamua kuacha bia ispokuwa occasionally nakula kitu Guiness kwa kazi maalum.
 
Back
Top Bottom