Tahadhari kwa wanaume wazinzi

JayK

Member
Feb 3, 2012
34
33
Hii nimekutana nayo leo kwenye phone bible yangu.

Mithali 6:32-33

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.

***************
Najaribu kufikiria tu ni wanaume wangapi humu jamii forum hawana akili kabisa....
 
Back
Top Bottom