Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,528
- 70,390
Duh nina mkeka wangu kwa hawa watu unasubiri game moja tu ina maana nikishinda sitaweza kuvuta kimango changu?ningekusikiliza leo yasingenikuta yani haiwezekani kutoa wala kuweka ela 22bet kwa sasa, na haijulikani tatizo litaisha lini