Tahadhari kutoka Utumishi kuhusu Utapeli wa Ajira na Mikopo

I am looking for young professionals who can join me in the marketing of my business consultancy services.
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA

attachment.php

TAHADHARI


Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inawatahadharisha wananchi wote, ndani na nje ya nchi kujihadhari na watu wanaotumia jina la Utumishi kuwaibia fedha na kupoteza muda wao kufuatilia jambo ambalo halipo. Watu hao wanatumia majina yafuatayo katika mitandao: Saving Foundation Loans na Jakaya Foundation kwa anuanihttp://savingfoundation.wapka.mobi/index.xhtml na kuelekeza kuwa Makao Makuu yapo kwenye jengo la UTUMISHI.

Namba za simu zIfuatazo zimekuwa zikItumika kuwatapell wananchI watume fedha; 0715-373307, 0656-037520 na 0762-269376. Wananchi epukeni kurubuniwa na watu hao kwani Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma haijishughulishi na kutoa mikopo ya aina yoyote kwa wananchi.

Tangazo limetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
2 Aprili, 2014



Mawasiliano:
permsec@utumishLgo,
S.L.P 2483 Dar es Salaam,
Simu, (255) 22 2118531-4


Asante kwa kutufahamisha
 
sawakabisa ila mm natafuta nafasi za kujiunga na jkt nipe imfometion nitafanya nini nataka ningie mwakani
 
Kinachotakiwa kila unachokiona mbele yako au chochote unachokisikia ni nzuri utafakari kwanza kabla hujatekeleza unachoamliwa kukifanya.
 
Ofisi ya rais?
Utapeli?
Pembe za ndovu?
Vibali vya uwindaji tembo na wanyama 701?
Ufisadi?
!
!
!
!
!
Nafikiri tuna tatizo kubwa kwenye ofisi hii nyeti!Yaani watu wanatapeli kwa jina la ofisi ya rais halafu mnatutumia namba zao za simu!!!?Si vyombo vya usalama viko chini yenu!!?

I`m disappointed!!
 
very good hayo ndo maujanja ya town ukiwa boya lzm wakupige mkwanja. haya waliopigwa walikua hawajui bt leo tumeshaambiwa atakaeibiwa tena me natanguliza pole kabxaaaaaaa......!
 
Mueshmiwa izopesa unazowapa zawadi wasanii muhimbili wagonjwa wanalala chini laia wako wanakosa hata ya kununua panadol bac jenga hata kiwanda uwaajili ombaomba na vilema wafanye kaz kulingana na viungovyao
 
Back
Top Bottom