Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

Na wewe ni yuleyule, mbona picha zote mbili zimepigwa siku moja sehemu moja. Picha ya kwanza inaonesha shati alilovaa ndilo alilovaa Moro na ukuta unaoonekana Ubungo ndio unaonekana Moro. Kwa hali hii atakuwa amekuambukiza kusema uongo au nia yako ni kutuonesha unayo gari yenye kamera, kama ni hivyo hongera.
Mpatuka umechelewa kwani tulikwisha yaweka sawa.
 
Humu wapo sana katika sekta ya kuabisha watu wanafurahi sana ila sasa ukiwa unahitaji kazi hawakupi mtaji hawakupi.

Yaani maisha huwa ni mazuri endapo ukimkalisha nakumwambia sema ukweli usaidike naje tukijikusanya tukakufungulia kitu kidogo ujisogeze kimaisha wewe na watoto.

Humu mna ngo's nyingi ila kuwasaidia wenzenu mbaya kabisa . Hamtaki . Mtu kachanganyikiwa he needs help sio unafikoa hadi ubamrekodi yanini wewe mtoa mada unajiona halafu unajiita Amani ya Mungu huna hayaa
Dada unasemaje etii 😅
 
Naomba nikiri hoja yangu imelenga kuleta hoja vijana wajitume na sio kuwa ombaomba ilihali wana nguvu.
View attachment 2933415

Mwaka 2023 mwezi wa 5 nikiwa natembea maeneo ya Ubungo jirani na NBC bank alikuja kijana ambaye anaonekana kwenye video hapa na akaniambia yeye ni mwalimu amemaliza SUA na amepata kazi Songwe hivyo anaomba nimuongezee nauli ili aweze kufika. Alinifuata kwa nidhamu na kwa namna alivyokuwa akiongea (Angalia hata hii video hapa anavyojieleza kwa ustadi) niliamini kweli ni mtu mwenye elimu yake na pengine kweli hana kazi ndio amepata. Nikaona si vibaya nikijigeuza kuwa malaika wa zamu kwake ili afanikishe safari ya kwenda Songwe alipodai amepata kazi. Nikamuuliza nauli akanitajia na na akasema aka niasi kidogo kama elfu 10, nikampa, Sikumbuki ni kiasi gani ila kama sio kwenye 40,000 maana nilihakikisha nampa nauli ya kumfikisha. Akanishukuru sana akanipa na namba yake but sikuiSave kiukweli (Good enough alikuwa na smartphone)

Tarehe 10 Machi, Mwaka 2024 nikiwa kwenye gari nimetoka Mazimbu naenda mjini, nimefika na kusimama sehemu ya mataa, Mtu yuleyule niliyemsaidia nauli ya kwenda Songwe kwenye kazi, nimekutana nae tena na akagonga kioo na kuomba nisimame mbele baada ya mataa. Mawazo yangu nikajua pengine ameniona na amenikumbuka anataka kunishukuru kwa msaada niliowahi kumpa, Baada ya kuvuka mataa na kusimama kumsikiliza pengine anashukuru kwa msaada wa awali, nikashangaa analeta maombi ya aina ileile.

Bahati mbaya baada ya kumwambia siku nyingine aliondoka na wakat namuita ili nimkumbushe akawa ameondoka hakutaka hata kusikiliza. Wakati namtafakari hasa kuwaza umbali wa kutoka relini ambako amedai aliponiona ndio amenikimbilia, nikakumbuka kuwa Dashboard camera yangu ilikuwa on nikataka kuprove kweli aliniona tangu relini? nikaendelea kujiridhisha kuwa ni Muongo.

Baada ya kutembea takriban Mita 400 kutoka relini, (sehemu ambayo yeye alisema ndipo aliniona na kunikimbilia) ndipo alionekana akitembea kuelekea uelekeo ambao nilikuwa nakwenda kupitia camera ya mbele. Nilipofika usawa wake mbele kidogo ndipo alionekana kuangalia gari kupitia camera ya kulia. ndipo akaamua kuja na kuvuka upande wa abiria kama anavyoonekana kupitia camera ya nyuma. na hatimaye maelezo yake ni kama anavyoonekana kupitia camera ya kushoto japo hajaonekana vizuri.

Tujihadhari na huyu mtu ni wazi atakuwa ndio mchezo wake kujipatia pesa kwa udanganyifu na pengine kafanya hivyo mikoa mingi.

Tazama Video nilipokutana nae Morogoro

View: https://youtu.be/sd2-OcpDkv0

UPDATE ZA ZA WADAU WENGINE WALIOKUTANA NA HUYU BWANA:

Mkuu pole sana, Mungu ni wa ajabu yalishanikuta hayo but cha ajabu nilikuja kuta na mtu yule yule na story tofauti hao ni matapeli wapo nchi nzima, ila kwa sababu wanatembea sana kwa miguu nirahisi kukutana nao tena hasa huko Mikoani...
 
Nimependa sana jinsi ambavyo una deal na wasiojulikana kwa kuwa na Infiltrated Security HD Camera.

Huenda na Gari ya Mbunge wa Dodoma Area D alikuwa nazo kama hizi.
 
Inaonekana pia ulivyoongea naye akikukumbuka....ndio maana hakutaka kuendelea na wewe ulipomkatalia.
 
Huyu jamaa nilikutana naye mwaka jana Lake Oil petrol station pale Tabata njia panda ya kwenda Segerea/Kimanga. Akanipa story hiyohiyo ya kuwa ni mwl alitumbuliwa na sasa kapata kazi na anatakiwa kuripoti kazini siku inayofuata.

Muda huo nilikuwa nimetoka kujaza mafuta kwenye gari. Ilikuwa saa 1 jioni. Akaomba elfu 40 aweze kuungaunga apande gari za IT asubuhi aweze kuripoti kazini. Nilimpa elfu 10 ila ndio huyuhuyu na story yake ni hiyohiyo.
 
Watu kama hawa ukitaka kiwakomoa wapeleke stand uwalipie nauli umpe tiketi. Kama muda upo hakikisha anapanda bus na kuondoka. Ukigundua ni Tapeli, Piga picha tuma hata polisi waendelee na majukumu ya kunyoosha taifa.

Tusiache kutenda mema, maana wengine kwa kufanya hivi wamewasaidia na malaika -Biblia
Hawa matapeli wanasababisha hata Mimi BushDokta nije kukosa msaada kwa wasamalia wema kwa kuamini kila muomba msaada ni tapeli.
 
Humu wapo sana katika sekta ya kuabisha watu wanafurahi sana ila sasa ukiwa unahitaji kazi hawakupi mtaji hawakupi.

Yaani maisha huwa ni mazuri endapo ukimkalisha nakumwambia sema ukweli usaidike naje tukijikusanya tukakufungulia kitu kidogo ujisogeze kimaisha wewe na watoto.

Humu mna ngo's nyingi ila kuwasaidia wenzenu mbaya kabisa . Hamtaki . Mtu kachanganyikiwa he needs help sio unafikoa hadi ubamrekodi yanini wewe mtoa mada unajiona halafu unajiita Amani ya Mungu huna hayaa
Huyo alikuwa Tapeli tu
 
Back
Top Bottom