Tafsiri yangu kwenye sera zetu hizi

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Tafsiri yangu kuhusu hawa wa Germany huyo mmoja ameshika tama sababu sera za ndani ya kijikitabu hicho hazitekelezeki kutokana na Rushwa na Baadhi ya Wabunge wetu wa CHama chetu hicho kununua Uongozi. Hata Pia Bajeti wameangalia wameona imezidi yao mara 10 lakini sisi tunaikomalia tu.
Toa oni lako hapa

DSC_7826.JPG
 
Ukiangalia picha zote,hao ni social democrats wa Germany ambao wana sera kama za CCM,walikuwa wageni wa nepi.
 
Back
Top Bottom