Tafsiri ya Majina ya Wana Chit Chat.......

sikubali, imekuwaje unanichagulia wa congo??

Mie show zangu za akina rik ross, nikki minaji, young money crew kwa ujumla, derulo, drake na aina hiyo
 
Leo nilipitia pale kilabuni kwa Kimario kupata kisusio Bana.. Sasa ile tunapiga piga Stori si Kimario akajifanya anajua Lugha kibao? Nikamwambia Kimario kuna majina JeiEfu huwa siyaelewi yana maana gani. Nikaanza kumtajia akawa ananitafsiria kama ifuatavyo:

Kwanza neno Chit Chat lenyewe amelitafsiri kama Tunga uongo halafu Ongea..
FP - Asali wa Moyohttps://www.jamiiforums.com/members/badili-tabia.htmlsweetlady - Mwanamke Mtamu Mtamu (Pacha,, hadi nimemuonea wivu Nitonye, Lol)https://www.jamiiforums.com/members/badili-tabia.htmlmtu chake - Person hishttps://www.jamiiforums.com/members/badili-tabia.htmlBADILI TABIA - Change Behavior (Tuko wangapi?)
Kongosho - Congo Show (anadai asili yake ni zile Show za akina Awilo enzi hizo)
Paka Jimmy - Cat of Jimmy
Mtambuzi - Mta's Goat
Kaunga - Ka Flour
nyumba kubwa - Big House
Charminglady amesema ni Mwanamke Machachari (mwanzoni nilisikia Machalari mpaka aliporudia tena)
wakati ndio sasa - Time is this now
Kipipi - Ki sweet
Mutukwao
- Person his home
Bishanga - Bi bracelet (njoo uchukue majibu yako huku Arifu)
Arushaone - Arusha moja
Dark City - Mji wenye giza
Erickb52 - Mwizi mwizi wa wake za watu (eti majina yanafanana na tabia za watu?)
figganigga - Figa jeusi ..
Mwanakijiji - Village Son..
King'asti - Amesema haya majina kwa Kiingereza tunaita Weed
Mamndenyi - Anasema ni Mam-Farm kwa Kiinglishi ama Mashambani kwa Kiswahilishi..
Ashadii - New Nokia Version Dii

Pamoja na kutafsiri majina kibao, ila ameshindwa kutafsiri TANMO.

Halafu anawakaribisha sana pale Kimario Kisusio Centre mje kuonja ladha halisi ya Kisusio (ambacho amekitafsiri kama Knife not)

Mapendo.
TANMO

mkuu utanipa ofa ya kisusio?
Kumbe AshaDii maana yake nokia asha.......
Mambie mtaalam wa kutafsiri nashukuru kwa kutafsiri maana ya Mamdenyi.......

Ila nakuuma sikio.....anajua maana ya TANMO hajakwambia makusudi liogopa ngumi....
 
Last edited by a moderator:
TANMO, umetumwa eeh? Mie siyajui haya makitu, rudi nyuma yangu shetani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom