Tafsiri ya Majina ya Wana Chit Chat.......

Arushaone aise mbona kijiweni sikuoni aise au umepata kijiwe kipya
Nitaweka super glue kwenye kile kiti chako aise
mwambie na Erickb52 kuwa kijiwe kimedoda bana
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kutafsiri majina kibao, ila ameshindwa kutafsiri TANMO.​

....sio kwamba ulimuahidi asitafsiri jina lako...ili uje kuitangaza hiyo centre humu JF...?..eti kijana...

Halafu anawakaribisha sana pale Kimario Kisusio Centre mje kuonja ladha halisi ya Kisusio (ambacho amekitafsiri kama Knife not)
...natangazo lenyewe ndio hili..?.. Erickb52 dai hela ya Tangazo..jamaa kapewa bakuli la kisusio kaja kuweka Ads humu...kweli mjini mipango. TANMO


 
hahahahahaaaa....!!. eti figa jeusi!.
Mi nmeambiwa TANMO inamaana ya town nimo!. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom