Tafakari ya kabla ya sherehe za mwisho wa mwaka

Mkyamise

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
454
555
Ukiona yafuatayo yanakuandama jitafakari:
1. Kutumwa tumwa na hata uliowazidi umri,
2. Kuombwa kuchinja, kukata kuni, kuosha magari, kutafuta ng'ombe/mbuzi wa kitoweo, n.k
3. Kutoshirikishwa kwenye maamuzi ya familia/ukoo,
4. Vikao vinaendelea wewe unawekwa busy kuandaa maakuli,
5. Kuombewa lift kirudi mjini,
6. Kufanyishwa kazi za nguvu zisizotumia akili,
7. Ongezeni....
 
Mwalimu wangu wa Lg1,alisha wahi sema "ukikosa pesa,kwenye msiba wewe ndo utakuwa unapewa pesa kwa ajili ya kununua mahitaji ya msibani"pia

"Ukitaka kuongea kwenye kikao Cha familia,utaambiwa unataka kuleta Fujo"
 
"ukikosa pesa,kwenye msiba wewe ndo utakuwa unapewa pesa kwa ajili ya kununua mahitaji ya msibani"pia

Anayepewa pesa ni yule anayeaminika mwenye nacho au akili nyingi, wewe kapuku usiye na kitu ukikimbia na pesa za watu itakuwaje, labda sanasana pesa anakabidhiwa mwingine na wewe unabeba mzigo
 
Back
Top Bottom