bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,697
- 4,107
Habari wana Jf!!
Nikiwa nimetoka kanisani mwenge, nikapanda gari za ubungo kupitia chuo kwani nlikuwa naelekea campus.
Nikiwa kwenye gari mbele yangu alikaa mwanaume aliyekuwa amempakata mtoto kwa kumwangalia ni kama ana wiki tatu, Mwanaume alionekana ana furaha zaidi kwa mtoto yule, akicheka kwa furaha na kuongea naye yaani mpaka uliyekaa naye unafurahi kwa aina ya upendo aliokuwa akionesha,nliwaona wamama wa3 na dada m1 wakitabasam tabasam zito kwa yule mwanaume kuonesha kuvutiwa na kitendo cha mwanaume yule. Cha ajabu sasa mkewe alionekana kutofurahishwa na kitendo kile ghafla alisikika akisema "Mi unavyofanya sipendi yani akili zako yote iko kwa mtoto hata unisikilizi wala kuongea na mimi hivi kwanini wewe?" tuliokuwa naye karibu wote tukabutwaa.
WANAJF, HIVI ALICHOKIFANYA MKEWE'/MMEWE' NI SAHIHI??
Tafadhari tuelimishane kwa hili.