Tafadhalini sana, sana tena sana naombeni ushaur!

Dijovisonjn

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
466
125
Nlipokuwa form one mwaka 2004 nlitokea kumpenda sana msichana fulan, nilimpenda sana tena sana, nilipojaribu kum-approach alinkatalia (naamin alinikataa kipindi kile kwa sababu alijiona mdogo) basi nikaamua kumfanya rafiki wa kawaida.
Tulipofika form three mwaka 2006 mimi nlihama shule na kuhama mkoa kabisa na kwa vile kipindi kile mawasiliano ya simu yalikuwa hayajaenea kwa kiwango kikubwa mikoani niliondoka bila contact zake, hiyo ilikuwa 2006!
Mwaka 2010
baada ya kumaliza form six nilibahatika kupata contact zake na tukawa tunawasiliana mara kwa mara, ila ukweli ni kwamba mimi bado nlikuwa nampenda sana na mpaka sasa nampenda sana.
Mwaka 2010 aliniambia kuwa ana mpenzi kitu ambacho nilijaribu kukielewa na kujipa matuman kuwa wataachana nami nitaweka jina, mpaka sasa bado hawajaachana! Mwaka huu uvumilivu umenishinda, pamoja na kujua kuwa ana mpnz nlim-approach, mwanaume nilibembeleza jumatatu ya wiki hii nikaeleweka nikakubaliwa, jumatano, binti kanitumia sms anadai eti hataki kuwa na mimi tena, kisa eti anajihisi mkosaji mbele za Mungu kwa hiyo hawezi kuachana na huyo mpenzi wake bila sababu yeyote.
Nikitafakar binafsi naona binti yuko sawa na binafsi naona kama simtendei fresh mshkaji, ila kwa upande mwingine namhtaji sana huyu binti kwa gharama yeyote ile nahisi nitakuwa na amani pamoja na furaha kama nikimuoa huyu binti ila kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa najihisi nimezidiwa, wanajf plzzz nisaidieni, NIFANYE NINI?
 
huyo dada hajielewi anampenda nani.

Unaweza kuwa na Juma ukamtamani shabani na ukawa hujakutana hata na unayempenda.

She is caught between Keagan and Seydou, poor Talia!
 
Sasa ameshakwambia hawezi kumuwacha bila sababu huoni Kama amekupunguzia mzigo au unadhani hata akitoka kwake halafu umchukue wewe unahisi unatenda haki? Usijizonge huyo msichana sio rizk yako,muombe mungu akupe mbora zaidi yake na achana kumfikiri na kuongea nae......
 
kongosho unachakachua hadi hapa? kutuletea mambo ya bigi buraza?

huyo dada hajielewi anampenda nani.

Unaweza kuwa na Juma ukamtamani shabani na ukawa hujakutana hata na unayempenda.

She is caught between Keagan and Seydou, poor Talia!
 
Sasa ameshakwambia hawezi kumuwacha bila sababu huoni Kama amekupunguzia mzigo au unadhani hata akitoka kwake halafu umchukue wewe unahisi unatenda haki? Usijizonge huyo msichana sio rizk yako,muombe mungu akupe mbora zaidi yake na achana kumfikiri na kuongea nae......

pia inaonekana kuwa dada anampenda mtu wakendo maana anafeel guilty kuwa na wewe. songa mbele utampata umpendae
 
Nlipokuwa form one mwaka 2004 nlitokea kumpenda sana msichana fulan, nilimpenda sana tena sana, nilipojaribu kum-approach alinkatalia (naamin alinikataa kipindi kile kwa sababu alijiona mdogo) basi nikaamua kumfanya rafiki wa kawaida.
Tulipofika form three mwaka 2006 mimi nlihama shule na kuhama mkoa kabisa na kwa vile kipindi kile mawasiliano ya simu yalikuwa hayajaenea kwa kiwango kikubwa mikoani niliondoka bila contact zake, hiyo ilikuwa 2006!
Mwaka 2010
baada ya kumaliza form six nilibahatika kupata contact zake na tukawa tunawasiliana mara kwa mara, ila ukweli ni kwamba mimi bado nlikuwa nampenda sana na mpaka sasa nampenda sana.
Mwaka 2010 aliniambia kuwa ana mpenzi kitu ambacho nilijaribu kukielewa na kujipa matuman kuwa wataachana nami nitaweka jina, mpaka sasa bado hawajaachana! Mwaka huu uvumilivu umenishinda, pamoja na kujua kuwa ana mpnz nlim-approach, mwanaume nilibembeleza jumatatu ya wiki hii nikaeleweka nikakubaliwa, jumatano, binti kanitumia sms anadai eti hataki kuwa na mimi tena, kisa eti anajihisi mkosaji mbele za Mungu kwa hiyo hawezi kuachana na huyo mpenzi wake bila sababu yeyote.
Nikitafakar binafsi naona binti yuko sawa na binafsi naona kama simtendei fresh mshkaji, ila kwa upande mwingine namhtaji sana huyu binti kwa gharama yeyote ile nahisi nitakuwa na amani pamoja na furaha kama nikimuoa huyu binti ila kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa najihisi nimezidiwa, wanajf plzzz nisaidieni, NIFANYE NINI?

....is JF,no longer a great thinkers ..........
 
Bado anakuona mdogo 2010 ndo umemaliza six je chuo lini na je kazi lini na je kujijenga kimaisha ili uoe ni lini kajiuliza hayo maswali kaona hiyo kamali ya kumuacha huby wake kukufuata wewe imeegemea kwenye kuliwa
 
Huyo mpaka ataolewa wewe bado unasubilia waachane....yale yaleee ya fisi kufuatilia mkono wa binadamu may b siku moja utaanguka!
kaka riziki si yako, unaweza kumpata na matatizo ndo yakazidi huko mbeleni,
 
Back
Top Bottom