Tabora United ndio hii iliyocheza na Yanga mpira wa nguvu na akili nyingi pale Dodoma ama ni wengine hawa?

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
609
1,563
Tabora united ya Leo ni Nini kimewapata?

Ni wenyewe Hawa waliocheza na yanga pale Dodoma kwa kukamia kweli kweli kiasi Cha kwamba tukawapa 5 kuwa watafanya vizuri sana msimu huu lakini nilichokiona Leo pale Aly hassani mwingi stadium ni kichekesho Cha kufungia mwaka!

Wamefungwa magoli mepesi sana, wamezuia vibaya, kipa Noble aliyekuwa anaonekana ni makini Leo kawa tofauti kabisa kafungwa magoli ambayo ni aibu kuruhusu kipa Kama yeye!

Nafikiri Kuna mipango michafu imefanyika kwenye mechi ya Leo ambapo biashara ilishafanyika kwa wachezaji na timu nzima!
Aina ya uchezaji wa Tabora Leo na ukiangalia mechi zao nyingine utabaki mdomo wazi!

Wao waendelee kufanya biashara kitachowakuta mbele ya safari watasimulia, kuuma meno kwenye mechi nyingine na kutoa sandakarawe kwa wengine unakuwa unajitengenezea anguko ambalo alitokuacha salama!

Na Simba pia wajiangalie vizuri kurahisishiwa kazi na kushinda kwa mipango aijengi timu yako zaidi ya kukudidimiza maana autojua MAPUNGUFU yako ni yapi matokeo yake utakumbana na wenzako wasiopokea bahasha utadhalilika na ukipigwa 5 nyingine ndio mtaanza kutafutana na kufukuzana mkiamini mnayo timu Bora kumbe ilikuwa inashinda kimipango mipango!

Tabora united mmejidhalilisha sana na namna matukio yalivyokuwa yanafanywa na wachezaji ilionyesha dhahiri Kuna maigizo kwenye mechi ya Leo!

NB NASIKIA MMILIKI NI BWANA ISMAIL ADEN RAGE KAFANYA KAZI YAKE KIUFASAHA ANASTAHILI PONGEZI!

TUNASUBILIA KIWANGO KAMA HIKI HIKI DHIDI YA AZAM PALE CCM KIRUMBA MWANZA!
 
Mawazo ya kijinga sana haya ktk soka.

Barcelona, Bayern Munich, PSG, Liverpool, Real Madrid, Manchester United, Manchester City, n.k huwa zinafungwa na vitimu vya hovyo mpk unamshangaa. Huo ndiyo mpira.

Yanga ilifungwa na Ihefu, kulikuwa na biashara??
 
Tabora united ya Leo ni Nini kimewapata?

Ni wenyewe Hawa waliocheza na yanga pale Dodoma kwa kukamia kweli kweli kiasi Cha kwamba tukawapa 5 kuwa watafanya vizuri sana msimu huu lakini nilichokiona Leo pale Aly hassani mwingi stadium ni kichekesho Cha kufungia mwaka!

Wamefungwa magoli mepesi sana, wamezuia vibaya, kipa Noble aliyekuwa anaonekana ni makini Leo kawa tofauti kabisa kafungwa magoli ambayo ni aibu kuruhusu kipa Kama yeye!

Nafikiri Kuna mipango michafu imefanyika kwenye mechi ya Leo ambapo biashara ilishafanyika kwa wachezaji na timu nzima!
Aina ya uchezaji wa Tabora Leo na ukiangalia mechi zao nyingine utabaki mdomo wazi!

Wao waendelee kufanya biashara kitachowakuta mbele ya safari watasimulia, kuuma meno kwenye mechi nyingine na kutoa sandakarawe kwa wengine unakuwa unajitengenezea anguko ambalo alitokuacha salama!

Na Simba pia wajiangalie vizuri kurahisishiwa kazi na kushinda kwa mipango aijengi timu yako zaidi ya kukudidimiza maana autojua MAPUNGUFU yako ni yapi matokeo yake utakumbana na wenzako wasiopokea bahasha utadhalilika na ukipigwa 5 nyingine ndio mtaanza kutafutana na kufukuzana mkiamini mnayo timu Bora kumbe ilikuwa inashinda kimipango mipango!

Tabora united mmejidhalilisha sana na namna matukio yalivyokuwa yanafanywa na wachezaji ilionyesha dhahiri Kuna maigizo kwenye mechi ya Leo!

NB NASIKIA MMILIKI NI BWANA ISMAIL ADEN RAGE KAFANYA KAZI YAKE KIUFASAHA ANASTAHILI PONGEZI!

TUNASUBILIA KIWANGO KAMA HIKI HIKI DHIDI YA AZAM PALE CCM KIRUMBA MWANZA!
.
FB_IMG_1705064420337.jpg
 
Tabora united ya Leo ni Nini kimewapata?

Ni wenyewe Hawa waliocheza na yanga pale Dodoma kwa kukamia kweli kweli kiasi Cha kwamba tukawapa 5 kuwa watafanya vizuri sana msimu huu lakini nilichokiona Leo pale Aly hassani mwingi stadium ni kichekesho Cha kufungia mwaka...
Tumeona juzi golikipa na beki wa viwango duniani Alisson becker na virgil wakifanya makosa yalioigharimu liverpool dhidi ya Arsenal uje utueleze hawa wa mavi kunuka wasifanye makosa wao ni kina nani!
 
Makosa yanaendana na uhalisia sio makosa ya kiboya vile Kila wakati makosa yako upande mmoja tu? Kwani mpira umeangalia peke yako? Makosa Aya yametokea kwenye mechi ya Simba tu Leo mechi nyingine zote makosa ayatokei sio?
 
Mimi kinacho nishangaza jamaa nimesikia waliweka Kambi Shinyanga kujiandaa na mzunguko wa pili lakini jinsi walivyocheza Tangu mpira umeanza walionekana Wana teleza na kuanguka marakwamara.

mbaya zaidi walikua hawana nguvu nikama wamechoka nikama walikua wakiomba mpira uishe.

Katika mechi ambazo Simba amecheza na kufunga Magoli bila presha ni dhidi ya Tabora sijui walikula Nini awa Tabora kabla ya mechi.

Simba Leo ilikua kitonga kweli siku hazifanani.
 
Mimi kinacho nishangaza jamaa nimesikia waliweka Kambi Shinyanga kujiandaa na mzunguko wa pili lakini jinsi walivyocheza Tangu mpira umeanza walionekana Wana teleza na kuanguka marakwamara...
Mpira wa kitanzania ni kivyetu vyetu watu walishabet tiyali sio kwamba walikuwa wanateleza wao ni kibunda kilikuwa kinawafanya wateleze🤣🤣

Na uwanja ni wao lakini ndio walikuwa Kama wageni wanacheza Kama Wana funza miguuni🤣🤣
 
Mimi kinacho nishangaza jamaa nimesikia waliweka Kambi Shinyanga kujiandaa na mzunguko wa pili lakini jinsi walivyocheza Tangu mpira umeanza walionekana Wana teleza na kuanguka marakwamara...
Inawezekana walipiga puli kabla ya match
 
Back
Top Bottom