Tablets!!

Hazina chochote zaidi. Inategemea wewe unafanya shughuli gani na how mobile are you.
 
go for a laptop...tablet ni sawa na cm za kisasa tu tofauti ni ukubwa ni mabadliko machache kwnye hardware,or u cn hve both for diff. usage.
 
Back
Top Bottom