Tabia za wazee wa miaka ijayo

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,718
3,366
Kibibi kimejaa mvi kichwani muda wote kipo online kinafatilia udaku huko IG Snapchat Facebook nk

Dingi kajaa mamvii kichwani halafu chawa

Dingi kavaa kata k.

Ongezea....

Hivi wahuni nao wanazeeka?
 
Sio kweli mambo yanabadilika kutokana na umri unavyozid kusogea hata akili uliyonayo saiv ikifika miaka mi5 hutowaza kama leo churaaa ww vijana wa 2000 mna akili za hovyo sana
 
Ukiwa wewe ni Kataa ndoa, mada na uzi huu una kuhusu.

Unategemea nini?
Huna mke, huna Watoto, Unazeeka-Unabakia kumang'amang'a huko kwenye sosho midia

Haya sasa Kataa ndoa ndio hao watabadilika na kuwa Kataa Uzee.😅
 
Kibibi kimejaa mvi kichwani muda wote kipo online kinafatilia udaku huko IG Snapchat Facebook nk

Dingi kajaa mamvii kichwani halafu chawa

Dingi kavaa kata k.

Ongezea....

Hivi wahuni nao wanazeeka?
Usikubali ushauri kutoka kwa Kila mzee! Even fools wanazeeka🤌🥱
 
Tayari vibibi vimeanza kuonesha tabia hizo. Unakuta bibi, mtoto na mjukuu wake wamevaa sare, wamevaa vipendo tight na wanajisikia freshi tu
 
Kibibi kimebandika kope na kucha

Kibabu kinalialia mtandaoni "wakuu bibi yenu hanijali kabisa nifanyeje"
 
Back
Top Bottom