Tabia za watu huendana na majina yao...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
Mara nyingine inachukuliwa kimzaha lakini ina ukweli. Sio wote lakini zaidi ya asilimia 75 ya wanawake wenye majina yafuatayo wana tabia zifuatazo (nataja wachache)

Rose - viongozi, wanapenda sana waume zao, wachapa kazi endapo wakiajiriwa
Lilian - M alaya, wengi hupata mimba kabla ya kumaliza shule, sexy, mapepe
Mary - hawatabiriki, wengi ni watiifu sana na hawajiamini, akiaribika anaharibika jumla
Flora - ni wachakarikaji sana kimaisha, wana misimamo sana na akiolewa mume asipokuwa makini anatawalika

mengine ongezenei wenyewe. mi ntaongeza baadae

Kwa wanaume
Frank - ni wahuni, mabishoo, wanabadili wanawake kila kukicha
Ben - wana busara, wanapenda madem, ni viongozi wazuri
Peter - Ni viongozi wazuri, wana hekima
James - wana utani sana, wanavutia sana wasichana, na wanacheat sana, hawako siriaz

mengine ntaongeza baadae...
 
Isdory- Viongozi wazuri sana.
 
Tuko - wachokozi sana, huamini vitu bila vielelezo, hupenda kutunzwa bila yeye kutunza..... hahahaha
 
Mh!.. Mi nnavyojua tabia ya mtu inatokana na malezi aliyopata kwao + mazingira anayoishi + shule alizosoma... Ila jina?? Sijawahi kusikia!
 
Kwa baadhi ya watu tabia zao zinafanana na majina yao mf. Benjamini ni watu wenye msimamo.
 
Hebu kwenye kila jina toa mifano ya watu maarufu watatu ili kuitetea hoja yako.. vinginevyo sikubaliani na wewe.
 
Mara nyingine inachukuliwa kimzaha lakini ina ukweli. Sio wote lakini zaidi ya asilimia 75 ya wanawake wenye majina yafuatayo wana tabia zifuatazo (nataja wachache)

Kwa wanaume
Frank - ni wahuni, mabishoo, wanabadili wanawake kila kukicha
Ben - wana busara, wanapenda madem, ni viongozi wazuri

Frank- wewe ni muongo sana! nimesoma Old Moshi mimi kuna bro wangu mmoja sasa hivi anapiga masters KCMC anaitwa Frank. Huyu jamaa jina lake shule mpaka anamaliza medicine muhimbili pale mwaka juzi nadhani alikuwa anaitwa MCHUNGAJI. Jamaa mpole, mnyenyekevu, fun to be with, ameokoka ki ukweli..yani quite contrary to how you described the owners of the name!

Ben-50-50! (no comment)..ila usirudie tena....
 
Give us more...

John
mwanahawa
David
Mwanaarafa
Dotto
Elizabeth
Mwajuma

Elizabeth - wabishi, wanajifanya kila kitu wanajua. wana akili sana lakini hawadumu katika ndoa..
 
Back
Top Bottom