Tabia ya wasichana kutuchomesha mahindi wavulana inaboa sana.

Hivi mapenzi hayo ya kusubiliana bado yapo? Ndo maana mimi kidume huwa sina demu mmoja maana najua nitakufa na presha! Yap ilisha nitokea pia ila mimi nikamjibu aaah wala usihangaike dear niko party na rafiki yangu utanijulisha siku ukipata mda. After two minutes akanipigia simu uko sehemu gani? Nakuja nilikua nakutania nione kama utakasirika.
Dah mkuu unaua kbs, halafu hii ya kuchomesha watu mahindi ulisahau kuiweka kwenye ule uzi wako wa wazungu...!
 
Vijana bwana, yataisha tu hayo!
Kuna siku mtakuwa mnafukuzia mtu mzima wala hahitaji kumuaga mama wala nini , anakaa kwake! just wait kijana.......
Ila ni vizuri kupitia hayo mambo maana yanazidi kukujenga.
 
Nenda zako ohio pale wao ndo wanachoma mahindi we ukifika unapiga fasta then unachanganya ngwala bila ya presha soko huria dogo fungua mboni hizo!!
 
Back
Top Bottom