Tabia ya kukodolea macho wanawake!

Nahisi ni first date sasa Papito si mzoefu.

papito kama ww si mzoefu, usiogope mm mzoefu. ila hatimae tumefika muafaka na nakubaliana

na ww hio itakuwa 1st date. ya kwetu iwe lini papie? unapenda nije na aibu kidogo au zisiwepo?
 
papito kama ww si mzoefu, usiogope mm mzoefu. ila hatimae tumefika muafaka na nakubaliana

na ww hio itakuwa 1st date. ya kwetu iwe lini papie? unapenda nije na aibu kidogo au zisiwepo?
Aibu! Hapana, hata kidogo.
Erotica
Utanitesa we njoo na maujanja yote.
 
Aibu! Hapana, hata kidogo.
Erotica
Utanitesa we njoo na maujanja yote.

Ewaaaaa! hio mm ndio napenda, nakuja na maufungi yangu yote.

usiteseke kabisa wala sitakutesa. mm sina roho mbaya wala sio mchoyo Ero mm.

ngoja nikajiandae just for you. wakati unanisubiri naomba angalia hii picha upate

picha jinsi movie litavokuwa la ukweee. hii picha nilipiga wakati nalamba pipi.

profilepic83124_2.gif
 
Sijui kama nitakuwahi, umemwaga mtama kwenye kuku wengi nitaambulia nini tena?
Ukichelewa sana nitakuwa sina imani na wewe tana!.
 
she is just being a lady, asking herself is she doing the rite thing, akijua wazi kuwa akiangalia

sehemu husika she will not think straight. bora tu aangalia mkono wa jamaa wakati

anatowa maamuzi ambayo sisi watazamaji we know better.

hadi kafika hapo there is no turning back. teh teh teh.

Kumbe hiyo ndio trick! I did not know...basi watakoma
 
if u look carefully at "lol" u'll notice dat it looks much like a guy drowning! i bet he ain't laughing loud now is he. heheheh
 
kirusha roho ww hata ukitaka kuwakomesha watu huna ubavu huo. hadi ujifikirie weeeee,

wapi na wapi? ww baki hivo hivo na upole na tabia ya kukataa wanawake wanaokutongoza.

Kwahiyo unataka niwe baba huruma Erotica? Kila anayekuja mi najidondokea tu! Unataka waniibe weye...wengine wezi sio wa kukaa nao karibu. What if?
 
Mambo mengine kufanyika ni lazima jamani kama hii iliyomtoke J Bieber lazima uangalie tu.
attachment.php
 
Kwahiyo unataka niwe baba huruma Erotica? Kila anayekuja mi najidondokea tu! Unataka waniibe weye...wengine wezi sio wa kukaa nao karibu. What if?

hapana my kirusha roho ww baki hivo hivo so that we don't go kwenye war ifs.

achana kabisa na wezi wanakusababisha utake kuibiwa bila kupenda, teh teh teh.
 
hapana my kirusha roho ww baki hivo hivo so that we don't go kwenye war ifs.

achana kabisa na wezi wanakusababisha utake kuibiwa bila kupenda, teh teh teh.

lakini wewe sio miongoni mwao..teh teh teh...nimethibitisha hilo. You are a good chap....
 
lakini wewe sio miongoni mwao..teh teh teh...nimethibitisha hilo. You are a good chap....

Natamani nibandue hili bandiko liwe thread yake kila mtu aone. Wapi FirstLady1

aje asome hili bandiko? thanks Ndahani. mwaaaah!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom