Tabia gani hii?

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,566
Rafiki yako anakutumia meseji kukusallimu, halafu mwisho anamalizia na msalimie mkeo! anaweka na alama za kushangaa tatu (!!!), maana yake nini aiseee? Au nishaibiwa?

---- Message hii imetumwa na ndugu toka Singida, akiomba ushauri ; anahisi kaibiwa na rafiki yake -----
 
mara nyingi hizi sms za msalimie mkeo juwa jamaa anataka tongoza au anatongoza tayari sasa ukimsalimia ni kama unamfikishia ujumbe kutoka kwa flan, ingawa sio mara zote, sometimes in bonifide tu
 
Kwanza: Huyo sio rafiki Kabisaa. Atakuharibia ndoa yako.

Pili: Mpoteze kwa muda kama mke wako akikuuliza tuu "Rafiki yako yule nani tena yuko wapi siku hizi?" Ujue ameshakugongea na anaendelea kula mzigo wako.

Tatu: Pole kaka
 
kuna watu wengine waharibifu wa ndoa za watu.....
anajua utashtuka
utaanzisha timbwili na mkeo
mfarakane
yeye ndo atajisikia kwaaatuuuuu

akili kichwani mwako
 
Kwani kuambiwa msalimie mkeo ni ishara mbaya?
Mimi naona pouwa tu.

Kaka Mkuu, Zile halama tatu (!!!) zinaashiria exitement yake kwa mke wa rafiki yake. Je ni sahihi?

Swala lingine la kuzingatie ni, Je alijuana na mkeo kabla yako? walikua marafiki kabla ya kuolewa na wewe? Bila hivyo hana maana mwizi tuu huyo rafiki.
 
Mi nadhani ingelikuwa msalimie shemeji isingekuwa na mashaka kihivyo, lakini msalimie mkeo!? mazee kuwa mwangalifu-wanaweza kuwa wanakufanya babu jinga huku mali zako zaliwa
 
Usije ukafa pressure bure sik hizi wanawake/ waka za watu ndio wanaongoza kwa kugongwa tena wengi wao wanatongoza wenyewe we cha msingi mweke wazi wazi kama anaenda inje sikuletee magonjwa atumie kinga na usiumize kichwa
 
Kwanza: Huyo sio rafiki Kabisaa. Atakuharibia ndoa yako.

Pili: Mpoteze kwa muda kama mke wako akikuuliza tuu "Rafiki yako yule nani tena yuko wapi siku hizi?" Ujue ameshakugongea na anaendelea kula mzigo wako.

Tatu: Pole kaka

wewe unaoa kabisaaa..
 
Rafiki yako anakutumia meseji kukusallimu, halafu mwisho anamalizia na msalimie mkeo! anaweka na alama za kushangaa tatu (!!!), maana yake nini aiseee? Au nishaibiwa?

---- Message hii imetumwa na ndugu toka Singida, akiomba ushauri ; anahisi kaibiwa na rafiki yake -----
Sidhani kama kuna tatizo akisema msalimie mkeo na inategemea mmezoweana vp wewe na yeye au wakezenu.
 
wala sio vibaya kwa mtazamo wangu, inategemea na jinsi mlivyozoeana!

kama hamna mazoea yoyote ya matan then akasema ivyo ndio kidooogo yaweza kupa mawazo, lakin all in all ni salamu tu usiwaze sana mkuu.

nimependa unavyouchunga mzigo wako lolz, hadi salamu!!!!!!!!!
 
aah aah mitu ipo makini
 
Back
Top Bottom