mnakumbuka siku cdm walipofanya mkutano mkubwa sana Arusha (zaidi ya watu 7,000) kueleza kwamba watakata rufaa ya hukumu ya Lema? kuna mtu aliona hiyo habari TBC?leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni nani anahusika kukata matangazo ya bungeni?na hii sio mara ya kwanza ,hata juzi kati siku anaapishwa Joshua nassari walizuia sauti ili tusisikie alivyokuwa akishangiliwa.jamani wanaJF,tufanyeje kuhusu hili?hii TBC si ya kodi zetu?