Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,938
- 30,282
- Thread starter
- #41
mohamed said acha wivu wa kike,we kama hujipendekezi kwa wakuu wa nchi hii, kama kimya au endelea kucheza bao huko mtaa wa gerezani,mashehe wenzio yao yana enda.inaitwa "akili kumkichwa".chezeya njaa weyeee:lol::lol:
Kadoda,
Hapana kaka si "wivu wa kike," ni kuhangaisha bongo tu na kufikiri.
Huwezi amini lakini mimi sijui kucheza bao.
Nimejaribu "draft," nayo kila nikikaa nafungwa mie.
Nimeacha.
Hiyo njaa kaka mbona sote ni hivyo hivyo?