Taasisi ya "Usheikh'' na fani ya uigizaji Tanzania

Waislam huwa wana msimamo kwa mambo yao tu, lakini kwa mambo mengine wako laini sana, sasa hawa Mashekhe mpaka wamehongwa pesa kwenda Monduli, imekuwaje. Waislam acheni kuwa laini, mpaka sasa katiba pendekezwa imepatikana kihuni, viongozi wa Kikristo wametoa tamko kwamba ipigwe kura ya hapana, lakini Waislam wamekaa kimya tu.

Unajuwa utamu wa ubeche wewe?
 
mwenye updates za tuhuma za kufanya matusi na mtoto, zilizomkabili waziri wangu wa elimu wa zamani na shabiki mwenzangu wa ile timu yenye Okwi,naziomba tafadhali.
 
Brother Mohammed Said
Niliiona hii humu JF nikasema hawa si wabagamoyo walivo nona nikaingia wasi wasi nawafahamu masheikh wetu hapa Dar walivo hali zao zeuzi Bagamoyo kusiko kuwa na uchumi wowote.
Uchaguzi huu una mambo mengi sana na kura za waislam mara hii naina ni muhimu zaidi kuliko wakati wowote ule wa vyama vingi suali la kadhi linawasumbua vichwa sana hivyo si ajab Lowasa aka ahidi kuwapatia hio masheikh wa "bagamoyo"
 
Last edited by a moderator:
Naomba sana FaizaFox asilione hilo kosa. Unakumbuka alivyomshambulia Prof Hirji kwa kukosea majmaji na kuandika Maumau? Yule dada balaa. Huwa haelewi kitu kinaitwa apology. Sijui ni dini gani yule dada.

Yule mama ni answar sunah
 
Hawa masheik kweli wameamua kuudhalilisha uislam. wameamua kumtumikia mtu na kuuhusisha uislam kwa maslahi yao badala ya kumtumikia ALLAH sw. na hili ndio tatizo kubwa kwa uislam tanzania. wakati mwingine tunailaumu serikali na wasio waislam lakini kiukweli maadui wa uislam hapa nchini ni miongoni waislam. Mwenyezi mungu sw atawalipa INSHAALAH
 
Hawa masheik kweli wameamua kuudhalilisha uislam. wameamua kumtumikia mtu na kuuhusisha uislam kwa maslahi yao badala ya kumtumikia ALLAH sw. na hili ndio tatizo kubwa kwa uislam tanzania. wakati mwingine tunailaumu serikali na wasio waislam lakini kiukweli maadui wa uislam hapa nchini ni miongoni waislam. Mwenyezi mungu sw atawalipa INSHAALAH

Acheni nao wakachukue kitu kidogo mbona yule mwenzao Jongo aliwasaliti na kuchukua zake za bunge la katiba?
 
Brother Mohammed Said
Niliiona hii humu JF nikasema hawa si wabagamoyo walivo nona nikaingia wasi wasi nawafahamu masheikh wetu hapa Dar walivo hali zao zeuzi Bagamoyo kusiko kuwa na uchumi wowote.
Uchaguzi huu una mambo mengi sana na kura za waislam mara hii naina ni muhimu zaidi kuliko wakati wowote ule wa vyama vingi suali la kadhi linawasumbua vichwa sana hivyo si ajab Lowasa aka ahidi kuwapatia hio masheikh wa "bagamoyo"

Mkuu tayari kuna kanusho tokq kwa uongozi wa Bakwata Bmoyo
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimeipenda picha ya tatu kutoka juu kuja chini. Kuna dada kasimama(na hisi ni mwandishi wa habari) yaani ameshika tama na peni yake mkononi' anawatizama hao masheikh waliokaa na muheshimiwa Lowassa na anawasikitikia sana tena sana!! Naomba na nyinyi wanajamvi muingalie hiyo picha tena na muipe maneno.
Ndugu yandu Saidi, hivi katika utamaduni na mila za Kiislamu yawezekana Mwanadada (mwanamama) akaCHANGANYIKANA na wanaume, (hasa wanapokuwa Mashehe)?
 
...Wanamkabidhi Fedha ALIZOWAPA mwenyewe. Ama kwa hakika Edwadi Lower Sir ni mwigizaji mkuu. Nakumbuka Shahada yake ya Mlimani ni ya UIGIZAJI! Yaani Theater and Perfoming Art. Kule walikofundisha Penina Muhando na Amandina Lihamba. Anatumia Taaluma yake inavyopasa.
 
Mkuu tayari kuna kanusho tokq kwa uongozi wa Bakwata Bmoyo[/QUOTE
Tume ya Katiba,


IMG-20150322-WA0047.jpg
 
Nafikiria kwa kina. Ingekuwa vipi hao wangekuwa mapadre au maaskofu walio kwenda kwa Lowassa kwa dhamira hiyo hiyo ya kumuomba agombee uongozi. Mzee wangu Mohamed Said angeandika nini hapa jamvini? Nafikiri kwa kina na sipati majibu.
hana upendeleo ndio maana hata kwa masheikh kaandi in a negative way,
 
Mwalimu Julius,
Uko sawa ni Dodoma si Monduli mimi nimekosea niwie radhi.

Mzee Mohamed kwanza hongera kwa uvumilivu katika hili,Pili mzee wangu huwa nasoma na kufuatilia mada zako,na kiukweli siwezi kamwe kusema kuwa nazichukia,Ila pia naomba kukuuliza:-

-Je ulishawahi kuusikia mkasa wa misikiti miwili mikubwa Arusha mjini ukiwepo msikiti mkuu kuamua kumuunga mkono Edward Lowassa? Na JE unajua sababu yao ni ipi hasa? Mpaka kufikia mahala pa kuwashawishi na wenzio wafanye hivyo?
 
Ujumbe wa Masheikh si wa kupuuza.Ni wawakilishi wa waumini wao huko Bagamoyo.Hatujui undani wa mazungumzo yao na Lowassa.Lakini yawezekana hao Masheikh walitaka kujua msimamo au mtizamo wa Lowassa kwa maswala yanayowahusu waumini wao ikiwa EL ataamua kugombea uraisi.Hawataki kushutukizwa,wao wanataka kujua jinsi gani EL atasimamia matakwa yao ili wakubaliane nae au waachane nae kungali mapema.

Lowassa hakuwahi kwenda kinyume na waislam na alianza hata kuchangia misikitini kabla hata ya kuwa waziri mkuu,sababu zipo.
 
Kimakuuma sana...ndio ujue kuwa mnafanya kazi bure nyingi sana.Bora mngewekeza ktk vitu vya kudumu na vya kusaidia dunia na wenzenu watakaobaki mnapokimbilia ktk ganster paradise
 
Brother Mohammed Said Niliiona hii humu JF nikasema hawa si wabagamoyo walivo nona nikaingia wasi wasi nawafahamu masheikh wetu hapa Dar walivo hali zao zeuzi Bagamoyo kusiko kuwa na uchumi wowote. Uchaguzi huu una mambo mengi sana na kura za waislam mara hii naina ni muhimu zaidi kuliko wakati wowote ule wa vyama vingi suali la kadhi linawasumbua vichwa sana hivyo si ajab Lowasa aka ahidi kuwapatia hio masheikh wa "bagamoyo"
Kuwa mkeli ili utatue tatizo.Km unataka balance ili wakristu wasikucheke huku unataka tatua tatizo utaumbuka tuu muda wote.kwani wenzio unadhani wanaona soo?MATAKA ALIWAHI KULA HELA YA HIJA KUPITIA ATC SERIKALI IKAENDA KUWAKOBOA WAISLAM KINYEMELEA BILA TOA SIRI SHILLING NGAPI ZA WANYWA VIROBA ZILIKWENDA WAKOMBOA WAUMINI.SIJUI KM WATATHUBUTU TENA KULAANI KIROBA AU SAFARI LAGER.NAJUA KILA DINI INA ADVENTURE ILA WAISLAM HAMPENDI SANA KUFACE REALITY ,MUD AMWINGI MNAWASNYOOSHEA WENGINE VIDOLE NA KUDHANI MAKOSA YAO YATASAIDIA THIBITISHA KUWA NYIE NDIO MNA DINI YA KWELI.BINADAMU NI BINADAMU TUU ANAHITAJI HURUMA YA MUNGU KUKATIZA FINISHING LIKE SALAMA.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom