engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Bila rushwa..haki haipatikani....toa rushwa upate haki.....(?)
rushwa na tanzania dam-dam.....!
Taasisi ipi rushwa kwao mwiko?
rushwa na tanzania dam-dam.....!
Taasisi ipi rushwa kwao mwiko?
rushwa ni nini? ukipata jibu basi kila sehemu ipo.
Rushwa ni adui wa haki,yaani hata kama unahaki ya jambo fulani hutoweza kulipata mpaka umtafute bwana rushwa
Nasikia hata ktk wanandoa bila rushwa siku hizi hupati unyumba