chatu junior
Member
- Dec 29, 2011
- 10
- 1
Wana JF ni kajiswali tu kadogo najiulizaga labda ipo au haipo.Tukianzia hapa kwetu Tanzania hivi ni taasisi gani
iliyoongozwa na mama Maria Nyerere alipokuwa ikulu kwa miaka 27?
Na je kwa US first lady au mama Obama je ,anaongoza taasisi gani?
Au maybe hawana roho ya ujasiriamali kama walivyokuwa Mama Anna Mkapa na EOTF, na Mama Salma Kikwete
na WAMA?