Taasisi Ipi inaogozwa na Mama Obama kule US na Ipi Iliongozwa na Mama M. Nyerere?

chatu junior

Member
Dec 29, 2011
10
1
Wana JF ni kajiswali tu kadogo najiulizaga labda ipo au haipo.Tukianzia hapa kwetu Tanzania hivi ni taasisi gani
iliyoongozwa na mama Maria Nyerere alipokuwa ikulu kwa miaka 27?
Na je kwa US first lady au mama Obama je ,anaongoza taasisi gani?
Au maybe hawana roho ya ujasiriamali kama walivyokuwa Mama Anna Mkapa na EOTF, na Mama Salma Kikwete
na WAMA?
 
sio kila kitu lazima tuangalie kwao hata sisi tunaweza dizaini kitu na kikawa cha kuigwa mkuu kucopy kila k2 kwao ndo chanzo cha magep kila usubui !!
 
sio kila kitu lazima tuangalie kwao hata sisi tunaweza dizaini kitu na kikawa cha kuigwa mkuu kucopy kila k2 kwao ndo chanzo cha magep kila usubui !!

Mrs Kikweta na Mrs Mkapa hawana majukumu ya kuwatunza Marais ndio maana wamejipa Kazi mbadala
 
sio kila kitu lazima tuangalie kwao hata sisi tunaweza dizaini kitu na kikawa cha kuigwa mkuu kucopy kila k2 kwao ndo chanzo cha magep kila usubui !!

lengo ni kujua,ma first lady wangapi wanatumia ikulu kuanzisha miradi yao-?
 
tena kwa nini alipoondoka dada anna mkapa eotf haikuendelea na mwalimu kaanzisha wama?zile kwa maoni yangu wangeanzisha na waume zao baada ya kustaafu tupate kitu kinachofanana na gates foundation vinginevyo halo halo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom