Taarifa za Habari leo zatawaliwa na wananchi maelfu kuhama toka CCM kwenda CHADEMA

Taarifa ya habari kuanzia channel ten, Tv1, ITV zimetaliwa na habari za wananchi mbalimbali toka CCM kwenda CHADEMA....

Wengi wao wamechishwa na tuhuma za rushwa zinazoendelea CCM....
ONYO::Mpaka october kitaeleweka tu.....Na OLE WENU MTUMIE GOLI LA MKONO.....Mtakiona cha moto....

cc LAKI si pesa Mzalendo FaizaFoxy
....kuendelea kuishabikia ccm mpaka saiz,ni lazima uwe na roho ngumu saaaana na kuja kukubali matokeo!
 
Last edited by a moderator:
Tunashukuru mungu tumeanza kuanza kuziona nyeti za kuku bado mapema,hata walio lala wataziona na kuzi jua na kufanya maamuzi sahihi,wapi lembeli mbunge wa kahama kupitia club kubwa chademaaa,,!@pipozzzz..!!
 
Ma CCM yote yametokomea. Hapa hakuna cha makufuli wala makomeo funguo tunazo sisi.

Mmemkata wenyewe mtaisoma namba.

Mapema sana asubuhi ya Oct 25 nchi itakuwa ukawa
 
Mleta uzi big up wapi wale washabiki wa ccm wanaoletaga dharau huku. naona huu uzi umekuwa mwiba kwao wanakatiza kimya kimya. watu wanasema bora fisadi mmoja aliyeasi mafisadi elfu. kuna watu wanajua kujitoa ufahamu kushabikia uozo lakini wananchi wamegundu kutapeliwa miaka 52 wataisoma namba na wakitaka amani idumu goli la mkono weka mbali na watoto .
 
...ccm wameshalegea hakika tutawakalisha octoba 25 asubuhi mapema. Hapo bado hata Lowassa hajanza kutambulishwa na hajaanza kampeni..huruma kwa magamba mwaka huu hayachomoki asilani...

naskia watatumia kuiba kwa bvr ila iyo njia tushaijua, na tunaifanyia kazi. Afu kuhusu dola kukabizi kadi za kupigia kura wanajidanganya hapa hakuna amri ya jeshi ni moja. Ccm kuwa makiini siku iyo jeshi lisiwageuke
 
Wananchi wa Tanga wamenipa raha sana.Sio kwa wingi ule na kuchana kadi vile!
CCM inazidi kupotea taratibu kama meli ya Mv. Spice!

riziwan alifikiri baba ake ndio Mungu wa tanzania...subir chama kitabak msogani tu
 
Back
Top Bottom