Taarifa ya mashirika ya dini kuhusu baa la njaa

Msema kweli mpenzi wa Mungu vs watumishi wa Mungu

Nani ana maono sahihi ya ukweli?
 
Mashirika mawili ya dini yanena na kutoa taarifa kuhusu njaa na hali ya ukame iliyoikumba taifa .
Yaitisha maombi maalumu ya kuombea taifa.
90d1469fe735ed760df1c50dd3d83930.jpg
b08ab67f1cb437dcd12fa39ee9a3de93.jpg

Hashtag Mwafaaaa
Nchi haina shamba

Nimewasilisha tu.
SERIKALI HAINA SHAMBA
 
Najaribu kuwaza tu "Kesho ni jumapili, Mkulu huwa anatinga makanisani kusali na kupewa madhabahu kurusha makombora yake, sasa sijui Padri akisema waumini wasimame au wapige makoti na kufumba macho ili kumwomba Mungu aiponye nchi kutoka kwenye baa la njaa, sasa sijui Mkulu atatii ama la? Na akipewa madhabahabu kurusha makombora yake, sijui atasema nini kuhusu baa la njaa?"
 
Back
Top Bottom