Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

haya mambo ya kufanya kazi na vyombo vya habari...................... sasa mwakyembe hapa anatafuta nini?................... huruma ya umma?.................... atulie tu aendelee na matibabu yake, ..................Mungu akipenda atamnusuru...............

Mwakyembe alishafanya Kosa kubwa sana kuficha ukweli kuhusu Richmond na Kukaa kimya muda wote wa Tetesi za yeye kunyweshwa sumu mpaka wenzake wame-mtaimu...Na ajue maadui zake wameenda mbali zaidi hata kuchakachua taarifa ya ugonjwa wake kutoka Apollo.
 
Kombo uko kombokombo kama jina lako lilivyo soma vizuri hapo juu amesema alishapeleka barua ya kutaka kuuliwa lakini waletwa mafia ofisini kwake kuchukua maelezo zaidi na hakuna kilichotokea ya pili akapeleka kwa siri ila ikatolewa magazetini ss hapo nani taahira?usifikiria kwa kutumia masaburi kombo hii nchi iko corrupted sana system ya kuwaleta wapelelezi wa nje ni kama vile kesi ya ngedere unampelekea nyani wakati wote wala mahindi hivi unategemea watafanya upelelezi bila kujua ripoti ya mwanzo ikoje?
 
Yaani aliyembambikia mtoto wa Mengi madawa ndo kapewa rungu la kuchunguza tuhuma za mwakyembe hii ni sawa na fisi kupewa ulinzi wa bucha ya nyama au kima shamba la mahindi
 
Ushukuriwe Sana, Tulikutaka utoe kauli sasa umetoa, Sasa ni muda wa Kutafakari.
 
Katika maisha yangu hakuna watu nawachukia kama polisi hasa watanzania, haiwezekani mtu anmariport tatizo kwa vielelezo halafu mnakaa kimya baadaye mtu anapokuwa ameshaadhirika eti ndiyo mnatoa roport na kutoa vitisho kwa wengine.
 
Kweli Mwakyembe alifanya kosa kuficha mambo yote yaliyokuwa kwenye ripoti ya richmond......
Ila naona ameanza kupona , hii ndiyo tabia halisi ya Mwakyembe kutikunyamazia upumbavu!

Lakini jamani tumsamehe na yeye akiri kuwa alikosea then, thuendelee na mapambano ya kuikomboa nchi yetu kutoka kwenye mikono ya genge la majambazi wanaolihujumu taifa letu...

Hivi Kikwete ni mtu? anayakalia kimya madudu haya ya polisi?
 
Mambo hayo, haya natusubiri na tuone mwisho wake, kwenye ukweli uongo hujitenga kama mafuta na maji
 
Back
Top Bottom