Taarifa ya ajali ya Kamanda Mawazo na namba yake ya simu!

pole kamanda , ulikuwa unaenda wapi na mtumbwi?

Yuko visiwani Bumbire, Goziba na Maisome katika wilaya ya Muleba. Ameenda huko kuimarisha M4C Kanda ya Ziwa. Mie nilikutana naye pale Izigo siku ya Jumapili akichukua masurufu kwa ajili ya safari kwa Kamanda Bayona.

Mungu atamsaidia.
 
Pole sn kamanda, hata Nyerere na wazee wenzie walipitia tabu km hizi wkt wa kudai uhuru, bt naamani kupitia umoja wetu freedom is coming tomorrow. Tunakuombea upone haraka.
 
Huyu jamaa alikuwaga Diwani wa kata ya sombetini kwa TLP magamba wakamnunua akaamia CCM Leo tena yuko CHADEMA .kweli siasa ni mchezo mchafu.
 
Back
Top Bottom