Taarifa kwa Umma: Wajumbe wa vikosi kazi vya kitaifa vya ngome za chama cha ACT - Wazalendo

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
610
1,540
TAARIFA KWA UMMA
WAJUMBE WA VIKOSI KAZI VYA KITAIFA VYA NGOME ZA CHAMA CHA WAZALENDO (ACT-WAZALENDO)

Tarehe 02. 03. 2016, Sekratarieti ya Chama cha Wazalendo (ACT-Wazalendo) kama ilivyokasimishiwa madaraka na Kamati Kuu ya Chama katika Kikao chake cha Tarehe 13. 02. 2016, imeidhinisha uteuzi wa Wajumbe wa Vikosi Kazi (Task Forces) wa Ngome za Kitaifa za Chama.
Vikosi Kazi vya Kitaifa vya Ngome za Chama vitakuwa na jukumu la kuratibu na kusimamia uendeshaji wa ngome husika hadi uchaguzi wa Chama utapofanyika mwaka 2017. Wajumbe wa Vikosi Kazi watachagua viongozi wa ngome husika.

Wajumbe walioteuliwa ni kama ifuatavyo:

NGOME YA VIJANA TAIFA:
1. Ndugu Edna Mangomango
2. Ndugu Philip Mallack
3. Ndugu Licapo Bakari
4. Ndugu Karama Kaila
5. Ndugu Anganile Massawe
6. Ndugu Assaa Abdallah
7. Ndugu Dickson Bagamba
8. Ndugu Mwantum Mgonja
9. Ndugu Haji Usi Haji
10.Hassan Abdallah

NGOME YA WANAWAKE TAIFA:
1. Ndugu Mkiwa Kiwanga
2. Ndugu Chiku Abwao
3. Ndugu Anastella Mallack
4. Ndugu Dotto Chacha Wangwe
5. Ndugu Eva Mpagama
6. Ndugu Mwanahamisi Semhinga
7. Ndugu Sixbether M. Mvule
8. Ndugu Mwanaharusi Nassor
9. Ndugu Ester Kayamba
10. Nawiye Abdallah Mussa
11. Ghanima Suleiman Shibu

NGOME YA WAZEE:
1. Ndugu Hamis Hassan Makapa
2. Ndugu Wilson Mushumbushi
3. Ndugu Salma Mtambo
4. Ndugu Hellen A. Chota
5. Ndugu Mussa Nandimuka 'Ndevu’
6. Maneno Ramadhan Suleiman
7. Abdallah Omar Abdallah

Abdallah Khamis,
Afisa habari wa Chama Cha Wazalendo (ACT Wazalendo).
203 Mpakani A Street, Kijiitonyama, P.O. Box 105043, Dar es salaam.
Tel: +255 22 277 1103, Mob: +255 655549154(Afisa Habari
Baruapepe: actwazalendo15@gmail.com Website:
 
Hii mutu inaitwaga Mwl Kaijage mapatwa na nini walahi! Habana sikia yeye siku mingi.
Au Keisha sitahafu fundisha kwaya sasa marudi kijijini kuvua migebuka?
 
chama makini act nawakubali sana,
Hiki ndicho chama cha kuwakomboa wanyonge, chama makini wakikaza buti
2020 wanaweza kuongoza nchi.
 
TAARIFA KWA UMMA
WAJUMBE WA VIKOSI KAZI VYA KITAIFA VYA NGOME ZA CHAMA CHA WAZALENDO (ACT-WAZALENDO)

Tarehe 02. 03. 2016, Sekratarieti ya Chama cha Wazalendo (ACT-Wazalendo) kama ilivyokasimishiwa madaraka na Kamati Kuu ya Chama katika Kikao chake cha Tarehe 13. 02. 2016, imeidhinisha uteuzi wa Wajumbe wa Vikosi Kazi (Task Forces) wa Ngome za Kitaifa za Chama.
Vikosi Kazi vya Kitaifa vya Ngome za Chama vitakuwa na jukumu la kuratibu na kusimamia uendeshaji wa ngome husika hadi uchaguzi wa Chama utapofanyika mwaka 2017. Wajumbe wa Vikosi Kazi watachagua viongozi wa ngome husika.

Wajumbe walioteuliwa ni kama ifuatavyo:

NGOME YA VIJANA TAIFA:
1. Ndugu Edna Mangomango
2. Ndugu Philip Mallack
3. Ndugu Licapo Bakari
4. Ndugu Karama Kaila
5. Ndugu Anganile Massawe
6. Ndugu Assaa Abdallah
7. Ndugu Dickson Bagamba
8. Ndugu Mwantum Mgonja
9. Ndugu Haji Usi Haji
10.Hassan Abdallah

NGOME YA WANAWAKE TAIFA:
1. Ndugu Mkiwa Kiwanga
2. Ndugu Chiku Abwao
3. Ndugu Anastella Mallack
4. Ndugu Dotto Chacha Wangwe
5. Ndugu Eva Mpagama
6. Ndugu Mwanahamisi Semhinga
7. Ndugu Sixbether M. Mvule
8. Ndugu Mwanaharusi Nassor
9. Ndugu Ester Kayamba
10. Nawiye Abdallah Mussa
11. Ghanima Suleiman Shibu

NGOME YA WAZEE:
1. Ndugu Hamis Hassan Makapa
2. Ndugu Wilson Mushumbushi
3. Ndugu Salma Mtambo
4. Ndugu Hellen A. Chota
5. Ndugu Mussa Nandimuka 'Ndevu’
6. Maneno Ramadhan Suleiman
7. Abdallah Omar Abdallah

Abdallah Khamis,
Afisa habari wa Chama Cha Wazalendo (ACT Wazalendo).
203 Mpakani A Street, Kijiitonyama, P.O. Box 105043, Dar es salaam.
Tel: +255 22 277 1103, Mob: +255 655549154(Afisa Habari
Baruapepe: actwazalendo15@gmail.com Website:
Nataka kujiunga ACT nifanyeje?
 
Back
Top Bottom