Taarifa kwa umma kuhusu kusitishwa kwa fao la kujitoa

Kukaa kwetu kimya na kulamika kwenye key board ndo kunawapa nafasi ya kuendelea kutoa matamko yasito na mshiko. AMKENI
 
Ati wasikie hapa:

[h=2]Functions of SSRA[/h]
  • Register all Managers, Custodian and Schemes
  • Regulate and supervise the performance of all Managers Custodians and Social Security schemes
  • Issue guidelines for the efficient and effective operations of the Social Security sector
  • Protect and safeguard the interests of members
  • Create a conducive environment for the promotion and development of the Social Security sector
  • Advise the Minister on all policy and operational matters relating to Social Security sector
  • Adopt the promulgate broad guidelines applicable to all managers, custodians and Social Security schemes
  • Monitor and review regularly the performance of the Social Security Sector
  • Initiate studies, recommend, coordinate and implement reforms in the Social Security Sector
  • Appoint interim administrator of schemes, where necessary
  • Facilitate extension of Social Security coverage on non covered areas including informal groups and
  • Conduct awareness, sensitization and tracing on Social Security.
 
Jamani, je sheria hii inawabana na walioitunga yaani wabunge? na wao hawatachukua mafao yao mpaka wafikishe umri wa kustaafu? Na kwanini sheria hii inarudi nyuma badala ya kuanza na wanachama wanaojiunga leo yenyewe inawachukua hata waliojiunga miaka ya 80. Kwanini? Tetesi kwamba hali ya kiuchumi ya mifuko hii pamoja na serikali kukopa toka kwenye mifuko na kujengea UDOM etc huenda zinaukweli.

sio udom tu hata hilo jengo la bunge jenyewe kuu hawa wabunge wote ni wachumia tumbo tu si CDM wala CCM
 
Hawa watu hawako serious kabisa.........hata website yao imejaa mapicha ya IRENE as if ni FACEBOOK

ssra6.jpg


Informing media houses during a press conference held at SSRA Board Room the Director General Ms. Irene Isaka informed journalists that as per Section No.5d of the SSRAAct, one of the roles and functions of the Authority is to protect and safeguard the interests of members, while making sure that all social security schemes are strong and sustainable. “The guideline addresses the immediate and some of the intermediate actions that are needed to improve the governance of investments and investments returns” said the Director General.
huyu irene alikuwa stanbic bank, ushkaji unaanzia kwa dhaifu rais mpaka wa chini yake, na ye kamvuta mshkaji wake lightness mauki, head wa risk huko huko! wao washachukua chao, wanatuletea ngonjera hapa, ana vitoto viwili vya kike! nimemchukia ghafla, kwa kushindwa kutetea wananchi kwa jk kilaza! pesa yetu tunataka! period!
 
Jamani, je sheria hii inawabana na walioitunga yaani wabunge? na wao hawatachukua mafao yao mpaka wafikishe umri wa kustaafu? Na kwanini sheria hii inarudi nyuma badala ya kuanza na wanachama wanaojiunga leo yenyewe inawachukua hata waliojiunga miaka ya 80. Kwanini? Tetesi kwamba hali ya kiuchumi ya mifuko hii pamoja na serikali kukopa toka kwenye mifuko na kujengea UDOM etc huenda zinaukweli.

Sheria hii haitawalenga wabunge hata kidogo wao wajiexclude ndio sababu waliifumbia macho
 
Kwanza huyu dada ni kwa maslahi ya nani? Maana lazima hii ni chakula ya kigogo mmojawapo anayehusika na wizi wa fedha zetu ktk mifuko hii so maamuzi haya na hii jeuri sio yake kuna mkono nyuma yake. Yeye anatupenda sana au ana uchungu sana na sisi kuliko sisi wenyewe tunavyojipenda? Wafanyakazi tumekataa sasa hayo maneno mengi ya nini? Anayetaka nyumba atakopa muda ukifika na hana haja ya kuchukua fedha zake atavumilia ili akope nyumba kwani inaonekana faida kubwa ni mkopo wa nyumba na wengine hatuna haja na nyumba kwani tayari tunajua tutapata vipi nyumba. Hapa tunapoenda bado kuagiza mabank salaries zikiingia wanazuia 20% kila mwezi kwa kigezo cha watu watunze akiba ili wakizeeka wawe na pesa za kutosha kwani hata mabank yanaidai hii serikali pesa kibao so itakuwa njia ya kulipa madeni hiyo. Huyu rais na chama chake wana miaka mitatu tu imebaki so hata mkikomaa pouwa tu ila huyu Irine tutampeleka mahakamani Kikwete akishaondoka atueleze pesa zetu nani alimtuma azizuie.
 
Haijaniingia akilini...raia tunajipanga uonevu umezidi sana chini ya haya manyang'au!!
 
Back
Top Bottom