nyengo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 454
- 184
Wagonjwa wameshika makaliiTuone nani kashika makali kisu na mpini
Wagonjwa wameshika makaliiTuone nani kashika makali kisu na mpini
Si shangai. Kama hospital za kidini zinaua watu kwa manufaa ya kisiasa. Lkn hata rwanda yalitokea mauji kama haya
Juzi walikuwa wanakata mauno mwanza na kupeana ubwabwa pumbavu kabisa hawa.watu wanateketea, serikali inakata viuno, leaders wanacheka-cheka na kulialia na kushangaa-shangaa, na kudanganya-danganya
Na hospitali ya Jeshi Lugalo mgomo unanukia....
sababu- zaidi ya nusu ya madokta wao (15) wamepelekwa Muhimbili wanalipwa laki 100,000/= kwa siku hali wao hawapumui na kazi zilizo walemea.
itatokaje kama unaongea nyuma ya key board na anonymous ID?Hivi mpaka dakika hii Serikali bado ipo madarakani tu?
Amaa kweli Tanzania ni nchi ya amani, ndiyo pekee tuliyobaki nayo ya kujivunia.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Duh! Hayo malipo ya 100,000/= kwa siku ni extra durty allowance au? Mbona madaktari wakidai angalau nusu per diemNa hospitali ya Jeshi Lugalo mgomo unanukia....
sababu- zaidi ya nusu ya madokta wao (15) wamepelekwa Muhimbili wanalipwa laki 100,000/= kwa siku hali wao hawapumui na kazi zilizo walemea.
Ni hospitali zote za kanisa ziko kwenye mpango wa MOU au za rufaa tu kama Bugando, KCMC, Bombo na Peramiho. kuelewa mambo kunaepusha shari nataka kufahamu kwa faida ya kuepuka kudanganywa.
Kazi ya ziada.Duh! Hayo malipo ya 100,000/= kwa siku ni extra durty allowance au? Mbona madaktari wakidai angalau nusu per diem
Na hospitali ya Jeshi Lugalo mgomo unanukia....
sababu- zaidi ya nusu ya madokta wao (15) wamepelekwa Muhimbili wanalipwa laki 100,000/= kwa siku hali wao hawapumui na kazi zilizo walemea.
ndugu yangu. Hii ni ajenda ya kanisa tu, hukumbuki mzee mwinyi? Mkapa si unaona tanzania ilikuwa mlo mara 1000 hapa. Maisha mazuri tu. Akija muislam si mnajuwa?
Mh. alikuwa kwenye sherehe za chama huko na alipata muda wa kukutana na wawakilishi wa wamachinga na kuwapiga jeki ya 10Mil. naona hilo halikukaa vizuri sana kwa madakitari ....Kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa kikao cha Madaktari wakazi (Resident) na Interns ambao bado walikuwa wanaona wagonjwa wa dharura sasa wameamua kuacha kila kitu na kuamua kutoa mtangazo.
Kkatika mbao za matangazo kuwa leo hakuna kazi huku kukiwapo na taarifa Madaktari bingwa wa hospitali hii wamekuwa wakionekana katika makorido ya hospitali hiyo wakijadili mgomo na kuwepo kwa tetesi kuwa walikuwa na mpango wa kukaa kikao cha kujadili mgomo na kuweka tool down..
NAOMBA KUWASILISHA
"chokochoko kamchokoe pweza" babuuu . Kama huyawezi yaaache yaelee kwani yameumbwa. Tena ukome kuwa mchochezi wa kidini kwani Watanzania hatuko hivyo.Nafikiria serekali iakte mirija yote inayoelekea makanisani. Kwani isipofanya hivyo taifa litaangamia. Kama bugando hopsital ya kanisa inagoma kwa kuwa rais aliepo madarakani ni muislam. Nchi imeisha