Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,846
- 5,076
Nadhani sasa in a way wanamlazimisha Rais JK atoe kauli yake ambayo ni thabiti.
ana kauli gani huyo?
Nadhani sasa in a way wanamlazimisha Rais JK atoe kauli yake ambayo ni thabiti.
Damn afu nina tumbo la kuhara, hivi Wabunge hawawezi kutibu??
Kama hawawez wabadilishane posho na madokta
ana kauli gani huyo?
Damn afu nina tumbo la kuhara, hivi Wabunge hawawezi kutibu??
Kama hawawez wabadilishane posho na madokta
Bugando na KCMC ni hospitali za kanisa naomba maelezo wanaingiaje kwenye mgomo huu sambamba na Muhimbili na hospiali zingine za umma? Napata shida kupata tafsiri yake.
Kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa kikao cha Madaktari wakazi (Resident) na Interns ambao bado walikuwa wanaona wagonjwa wa dharura sasa wameamua kuacha kila kitu na kuamua kutoa mtangazo.
Kkatika mbao za matangazo kuwa leo hakuna kazi huku kukiwapo na taarifa Madaktari bingwa wa hospitali hii wamekuwa wakionekana katika makorido ya hospitali hiyo wakijadili mgomo na kuwepo kwa tetesi kuwa walikuwa na mpango wa kukaa kikao cha kujadili mgomo na kuweka tool down..
NAOMBA KUWASILISHA
Inabidi sasa pinda achukue madaktari wengine toka magereza,..
wengine toka FFU,....
wengine toka zimamoto,...
wengine toka mgambo,...
na kwingne alikodai atapata sijui CUBA,.....
Upuuzi kweli kujidai wewe ndio wewe na bila wewe hakuna kinacho wezekana.
Nawapongeza sana madaktari ingawa binafsi ni mhanga wa mgomo wenu lakini
potelea mbali.
Pinda show us what you've got now.
Wataalam wako wa JWTZ na JKT vipi wameweza?

Bugando iko chini ya kanisa katoliki, sijui kama nao wanagoma ili wapewe posho na serikali.... hata hivyo mwenye taarifa zaidi atujuze!
Hospitali ni za kanisa,...
lakini madaktari sio wa kanisa.
wale 15 wa awamu ya kwanza sijui kama wali-prescribe hata parasetamo moja.
Kivipi mmiliki ni mwingine na mwajiri mwingine? fafanua. Naomba radhi kama nakukwaza lakini nataka kuelewa tu