T shirt ya CCM nusura imtoe roho mgambo

Si uongo,ni kweli kichapo kilitembea,akasaidiwa.Nikiona neno sisiem kwa Mwanza,nahisi kichefuchefu,kutapika.Na nitakwenda kaburini bila kuipa sisiem kura yangu.Siiipendi,siitaki,siifeel,siitamani.....Uuuuuuwi! Uuuuuuuwi!
Uuuuuuuuuuuuuuwi
keleuwiiiiiiiiiiiiii sisiem ctowapenda mpk mwisho wa hii dunia.
 
Jamaa mmoja mkazi wa jiji hili la mwanza anaesadikika na mgambo wa jiji nusura juzi wamtoe roho wakazi wa mtaa wa makoroboi baada ya mgambo huyo kuanza kukusanya bidhaa za wamachinga zilizokua pembezoni mwa barabara, chinga alikusanyiwa bidhaa zake walipoanza kukunjana na hapo hapo ndipo ilipogundulika tshirt aliyoivalia ndani ilikua ni ya chama cha mapinduzi, wamachinga wote waliungana na kutoa kichapo heavy kwa askari huyo ambae hana maslahi, huku wenzake watano wakimuacha kwenye mataa baada ya kuona moto wa petrol umewaka, pona pona yake ni vijana wawili wadogo wa jwtz walitokea upande wa pili na kumwombea radhi kwa watu hao waliokua wamejaa sumu...! Kutoka mwanza
mleta mada bila shaka bangi imekutemdelea. yaani wamempiga kwa sababu ya T-shirt au kukusanya vyombo?
 
mleta mada bila shaka bangi imekutemdelea. yaani wamempiga kwa sababu ya T-shirt au kukusanya vyombo?
Hiyo t-shirt iliwakumbushia machungu zaidi.Ni hiyo rangi ishakuwa na uhusiano mbaya wa kisaokolojia kwa wananchi.

Kuwa mgambo ama polisi si lazima uwe ccm,walipogunduwa kuwa anaweza akawa ametumwa,ndo kichapo kikazidi.
Wamachinga hao wanaamini kuwa ccm ndo inawapa hard times kwa kupitia dola.
 
mleta mada bila shaka bangi imekutemdelea. yaani wamempiga kwa sababu ya T-shirt au kukusanya vyombo?

unaonyesha ni jinsi gani kilaza, ki2 gani ambacho hujaelewa wewe??? Au unatafuta mwanaume wa kuku cameroon
 
Back
Top Bottom