Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,944
- 1,431
Jaman wana jf mtaniwia radhi kwa kuweka mambo yangu binafs hadharan kwan sijui namna nyingine ya kufikisha ujumbe wangu kwa nimpendae sweety lady! Swety lady mamii yani huwez amin nimeoteshwa kuwa ww ndio utakuwa mtu wangu wa krbu na wa mhm sn,km kuna mtu anapingamiz juu ya hili aweke wazi hapa.
Mkuu kweli wewe noma yaani una two days tu humu ndani lakini naona umeshampenda sweetlady haya kazi kwako mzee mwaga mambo PM