Sweety lady nakuzimia ile mbaya!

Jaman wana jf mtaniwia radhi kwa kuweka mambo yangu binafs hadharan kwan sijui namna nyingine ya kufikisha ujumbe wangu kwa nimpendae sweety lady! Swety lady mamii yani huwez amin nimeoteshwa kuwa ww ndio utakuwa mtu wangu wa krbu na wa mhm sn,km kuna mtu anapingamiz juu ya hili aweke wazi hapa.

Mkuu kweli wewe noma yaani una two days tu humu ndani lakini naona umeshampenda sweetlady haya kazi kwako mzee mwaga mambo PM
 
Jaman wana jf mtaniwia radhi kwa kuweka mambo yangu binafs hadharan kwan sijui namna nyingine ya kufikisha ujumbe wangu kwa nimpendae sweety lady! Swety lady mamii yani huwez amin nimeoteshwa kuwa ww ndio utakuwa mtu wangu wa krbu na wa mhm sn,km kuna mtu anapingamiz juu ya hili aweke wazi hapa.

Acha mawazo ya kizinzi... ! mnabaki kufikiria uzinzi alafu mnapigia kelele chama tawala kwa umaskini...!
 
kuna wakati wa siasa na wakati wa mapenzi na hata wanasiasa huwa wana wakati wa kulavidavi. Mi sijaona uzinzi hapo ila pengine jamaa yupo wenye mchakato wa kutafuta mwenzi wake ili atulie nae, we tuliza boli jamaa auze sera zake!
 
na wewe unazimia wengi ulianza na
sweetbaby,leo sweetlady awaishi hao
 
Nayaona IM, ila ushauri wngu kwako ni huu, "ILE NDOTO YA KITANDANI ACHANA NAYO, KAMA UNAHISI LABDA HAIWEZEKANI KUENDANA NAYO" - 20%. It was just a ndoto na ipotezee coz utafuatilia ndoto ngapi??? Kuna siku utaota visivyofaa hata kuandikwa humu Jf je utafanyaje???
Jaman swety huko uliko unayaona haya?
 
Nayaona IM, ila ushauri wngu kwako ni huu, "ILE NDOTO YA KITANDANI ACHANA NAYO, KAMA UNAHISI LABDA HAIWEZEKANI KUENDANA NAYO" - 20%. It was just a ndoto na ipotezee coz utafuatilia ndoto ngapi??? Kuna siku utaota visivyofaa hata kuandikwa humu Jf je utafanyaje???

jaman swety mbona huniamini my dear?niambie ukowapi nitakufuata popote pale ulipo.
 
Sio kwamba sikuamini mpendwa, ndoto ndo huwa siziamini kabsaaaa ndo mana nakushaur achana na mambo ya kwenye ndoto.

anyway mm binafs ni mgen hum niambie ni jinsi gn nawz kuku mp?hii issue iko open hakuna asiefahm hapa jf kuwa ww ni mtarajiwa wangu embu niweke waz na ww uko tayar tuonane live?
 
Hahahahahahaha! IM ndo umeamua kunchekesha asbh yote hii?? Mi pia mgen humu Jf sasa cjui ntakusaidiaje!!! Nimeshakwambia achana na mambo ya kwenye ndoto!!! Afu sred za kuzimiana/kufiana zlshapigwa stop, so ni vema na wewe uachane nayo! Wewe una uhakika gn mimi sio wa jinsia yako?? C unajua haya majina humu co majina ye2 halisi.
anyway mm binafs ni mgen hum niambie ni jinsi gn nawz kuku mp?hii issue iko open hakuna asiefahm hapa jf kuwa ww ni mtarajiwa wangu embu niweke waz na ww uko tayar tuonane live?
 
Jaman wana jf mtaniwia radhi kwa kuweka mambo yangu binafs hadharan kwan sijui namna nyingine ya kufikisha ujumbe wangu kwa nimpendae sweety lady! Swety lady mamii yani huwez amin nimeoteshwa kuwa ww ndio utakuwa mtu wangu wa krbu na wa mhm sn,km kuna mtu anapingamiz juu ya hili aweke wazi hapa.
kijana unajua kuwa sweetlady ni waifu wangu?, inaonekana umechoka kuishi nje ya jeneza. wee endelea tu.
 
Hahahahahahaha! IM ndo umeamua kunchekesha asbh yote hii?? Mi pia mgen humu Jf sasa cjui ntakusaidiaje!!! Nimeshakwambia achana na mambo ya kwenye ndoto!!! Afu sred za kuzimiana/kufiana zlshapigwa stop, so ni vema na wewe uachane nayo! Wewe una uhakika gn mimi sio wa jinsia yako?? C unajua haya majina humu co majina ye2 halisi.

ukisikia nipo kwenye jeneza ndio utaamin namaanisha nn!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom