Sweetlady naomba unisameme dada ni shetani tu alinipitia

loh sweet lady
dah ni shetani tu
ila nimesharudisha
sitorudia tena
ila kweli unafaidi loh
?

kuna mtu mmoja tu anafahamu undani wa hii kesi......

Ila sasa bebu, apo blue unasema hutarudia pengine red unaonyesha umeshaonja asali wataka kuchonga mzinga....umeshaona miondoko ya Kobe eee

Sweetie na Gaijin nimewaaaminia kwa kusoma katikati ya mistari vichwa vyenu vimetulia
 
sadaka ya kuteketezwa ndo inatakiwa,umeskia babu hana hela? hebu mtake radhi kwanza!
Kwa kauli hii nimeifuta ile azabu yako. Hebu nipe hiyo AK47 kuna mtu ana hamu ya kuwa marehemu hapa ofisini.
 
mke mwenza, kasamehe bure basi. unaharibu ur cute face. (kwanza nimepata zile glass kwa odm,ila usimuambie mtu manake sitarudisha ukumbini,lol)

King'asti, izo glasi kama sio sisi kumsema kwen vijiwe unadhani ungeziona lol
 
Hapa sweetlady atakuzungusha mpaka kesho.... Wee ongea vizuri na kaka... Hili suala analielewa... Unafikiri nini kajikausha hapa... Bliv me you Bebii kakukosea... And i know what....
Am sor my lovely wifi, nipo busy kidogo. Nitarejea bdae unipe kwa kirefu, ila kama ur bro atakuwa anahusika hapa mwambie leo alale huko, huko. Nisimwone nyumbani manake hizi hasira nilizonazo zitamwishia zote. Honestly speaking huu uzi umenikera, umenihuzunisha. Sijajua kwa nini bebii kaamua kunizushia namna hii. Bdae my wifi.. Stay safe! Love you..
 
As much as= although. Tukisema hizi story ni madudu mnaanza kukasirika. Kiingereza chenyewe mnaungaunga tu.

OMG. We si umekuja juzi tuu? tuliza munkari basi, hapa ni kijiweni wacha watu tustorishe banaaa.
KARIBUUU
 
ODM sio kwamba nachochea... Ukweli humwagwe ndio Sweet L atoe msamaha!
Hahahaha....sikujua shem wangu nawe ni kambea kama kajukuu kangu MwanajamiiOne........... Orayt akishaumwaga ukweli usisahau kunifahamisha..... Mi naelekea Kariakoo kugombea basi la mwisho la Mabwe Pande.
 
Am sor my lovely wifi, nipo busy kidogo. Nitarejea bdae unipe kwa kirefu, ila kama ur bro atakuwa anahusika hapa mwambie leo alale huko, huko. Nisimwone nyumbani manake hizi hasira nilizonazo zitamwishia zote. Honestly speaking huu uzi umenikera, umenihuzunisha. Sijajua kwa nini bebii kaamua kunizushia namna hii. Bdae my wifi.. Stay safe! Love you..


Poa One of my Best Wifi... poa roho yako na kunywa haya maji ya Luke-warm na ndimu kwa mbali... Sitaki upate pressure (sio chaguo lako ndio kupenda hutufanya) Usitumie hasira wala usimfukuze kaka; return to your normal Sweet self.... Hivo don't worry be happy na jivunie kua kuna wanawake wanatamani angekua wao - BUT wee ndio you have the right... Wee unamuonaje huyu kid sis wangu?? Siwezi shangaa kama alimvuata kaka ofisini....lol...

Ok... badae and please do take care... Love you too.
 
am sor my lovely wifi, nipo busy kidogo. Nitarejea bdae unipe kwa kirefu, ila kama ur bro atakuwa anahusika hapa mwambie leo alale huko, huko. Nisimwone nyumbani manake hizi hasira nilizonazo zitamwishia zote. Honestly speaking huu uzi umenikera, umenihuzunisha. Sijajua kwa nini bebii kaamua kunizushia namna hii. Bdae my wifi.. Stay safe! Love you..
ohoooo kazi ipo loh?
 
hehehe! ukinipa msamaha wa makosa yote hadi kismasi ndo ntakuazima binduki yangu. ila risadi nakuuzia
Nini Krismass bana, msamaha nlokupa ni mpaka pale ziraili atakapotaka kuinyemelea hiyo kitu inayodunda hapo katikati ya manyonyo yako kwa insaidi. Haya leta hiyo Silaha bana! Risasi tatu zantosha.....
 
Back
Top Bottom