Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

Kweli mapenzi hayana macho...
Katika hali ya kustaajabisha klorokwini ameamua kujitosa na kuzama kwenye penzi zito la sweetlady bila kujali kuwa ni mke wa nitonye na bila aibu SL ameonekana akiwa na mahusiano mengine ya wazi na Vin disiel na SL alipoulizwa alisema Nitonye yuko shamba..sasa hofu yangu ni pale watakapokutana wote je Klorokwini atapona?
Then SL atuambie nani big house, nani small house na nani House boy..!
Wanaomnyemelea SL wengine ambao maombi yao yako pending ntawataja baadae
Ndugu yangu nitts,piga chinii ndito aisee.
 
Last edited by a moderator:
me namuunga mkono SL. angalia nw laadhidhi sobhuza kapigwa ban,laiti ningelikuwa na mafiga ma3 wala nisingepata shda. yeuuuwiii moyo mpweke!

Umeonaeeeh......yaani hufi kwa sukari wala presha charminglady......ukizinguliwa huku unahamia huku.....ila uhakikishe hayo mafiga matatu yote yanajuana kama mimi wote wanajuana na hawana tatizo lol.
 
Last edited by a moderator:
Umeonaeeeh......yaani hufi kwa sukari wala presha charminglady......ukizinguliwa huku unahamia huku.....ila uhakikishe hayo mafiga matatu yote yanajuana kama mimi wote wanajuana na hawana tatizo lol.

naanzisha uzi wa kutaka mafiga matatu saiv!
 
Last edited by a moderator:
Sweetlady, mie ningependa kujua kadogoo baba yake ni nani?? Siku ya ubatizo tusijepata aibu siye! Mzima weye?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom