Swaumu yanitesa!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Wakuu mabibi na Mabwana!

Nimepotea Jukwaani kwa muda sababu kubwa namsaidia lazizi wangu Mzenji kufunga kwenye mwezi huu mtukufu. Nilipata aibu zile siku za mwanzo kwenye funga niitwa kobe...huku Zenji hata Migahawa inafunguliwa baada ya futuru. Inshallah nitarudi baada ya mfungo kwisha.

Karibuni Zenji
 
Kumbe Rev nawe ni mmoja wa wafungao ramadhani! mwe, khaaa, jaa, teeee
 
Ukipenda Boga Rev Masa .....
zimebaki siku chache kidogo mungu aendelee kuwatia nguvu
 
Hongera mchungaji kwa kumsaidia mwenzi wako, sasa hapo thawabu sijui unapata au unasindikiza!

Kuna Muhadhara Mmoja nilikwenda huku mashambani wanasema mashekhe kila afungaye basi thawabu zinamwagikia kama mvua za masika! Ni moja ya nguzo za deen ya mtume
 
Ah Swahiba,

Nakuonea wivu ati, mie kobe mwezi mzima, hang-over haziishi ila pesa ndio zinaisha

Lazma utakua fit sana baada ya mfungo....

Karibu Brake Point
 
Ah Swahiba,

Nakuonea wivu ati, mie kobe mwezi mzima, hang-over haziishi ila pesa ndio zinaisha

Lazma utakua fit sana baada ya mfungo....

Karibu Brake Point

Hahahahah nyie Makobe mnafaudu sana! Nina kiu ya ile kitu balaa...siku haziendi kabisa! Karibu bwabwa la Iftar

Umenisoma kwa PM?
 
Back
Top Bottom