Mahwahwa Thomas
New Member
- Aug 12, 2010
- 1
- 0
je,mwnafunzi anaruhusiwa kuchora maua wakati anajibu swali la kadi ya mwaliko kwenye mtihani?
Kwanza karibu jamvini Mahwahwa. Ebu fafanua suali lako kidogo, halieleweki vizuri.je,mwnafunzi anaruhusiwa kuchora maua wakati anajibu swali la kadi ya mwaliko kwenye mtihani?